EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kanisani hamuendi injili itawafuata popote mlipo msijepata sababu ya kujitetea mbele za Mungu kwamba hamkusikia Neno la Mungu, so relaxNdio nauliza wao kufanya hivyo wana maana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisani hamuendi injili itawafuata popote mlipo msijepata sababu ya kujitetea mbele za Mungu kwamba hamkusikia Neno la Mungu, so relaxNdio nauliza wao kufanya hivyo wana maana gani?
Pepo hakuna siku atamtoa pepo mwenzake haya maneno nilielezwa na sheikh mmoja nikiwa Geita mpaka sasa hili neno naishi nalo vizuri kwa maana hao wachungaji wako wote nawajua vizuri na upumbavu wao piaHata ukinunua gari yako utahubiriwa tu ili mapepo yakutoke na utubu ilii uurithi ufalme wa Mungu
Zipi,local au international?Hivi Hadi kwenye ndege wanaruhusiwa?
Zozote tuZipi,local au international?
Of course,Wanaruhusiwa ikishatulia angani😜Zozote tu
Kwangu mimi haiwezekani mkuu, maana hata mimi naweza nikawa muhubiri ama muinjilisti ikiwa nitapata nafasi ya kufahamu kwamba, nimebakiwa na siku ama masaa kadhaa nisipumie tema.Mimi hua wakianza makelele yao naweka head phones naweka mzikiwangu wa kisukuma kwa sauti ya juu sana.
HOJA YANGU
Mkuu Ushimen ukiwa umebakiwa na dakika chache kabla ye kwenda mbele ya haki, utawatafuta hao Wahubiri kwa simu na watakuwa hawapatikani.
Uinjilisti ni moja kati ya huduma 5 za Kanisa..Wahubiriane kanisani? Ambako tayari ukristo unafahamika! Maana ya mahubiri iko wapi sasa.
Hahaha...Wanakera asikwambie mtu. Kuna kipindi niko kwenye bus nampanga binti tulane kimasihara tukifika Moshi, linatokea jitu linahubiri eti aziniye na mwanamke hana akili kabisa huku linaniangalia, sijui lilitaka nilizini lenyewe? Yale makaa ya mawe yaliyohubiriwa pale, yalifanya binti apangue gia zote
Unasemaje hawana mipaka? Kwanini wasiingie msikitini kuhubiri kama ndio hivyo? NEMC wafanye kazi yao maana wamekuwa takatakaHao ni wainjilisti na sio wachungaji so hawana mipaka, sehemu maalumu ni kwa ajili ya wachungaji.
Wakafanye mahubiri kwenye viwanja, waandae makongamano. watu watawafuata hukoUinjilisti ni moja kati ya huduma 5 za Kanisa..
Jukumu la Wainjilisti ni kuhubiri nje huko na kuleta kondoo wapya kundini.
Wakihubiri ndani ya Kanisa hao wapya watawapataje?!!!
Kazi ya kuhubiri ndani ya Kanisa ni ya mchungaji.
Unazungumzia Kanisa lipi?Uinjilisti ni moja kati ya huduma 5 za Kanisa..
Jukumu la Wainjilisti ni kuhubiri nje huko na kuleta kondoo wapya kundini.
Wakihubiri ndani ya Kanisa hao wapya watawapataje?!!!
Kazi ya kuhubiri ndani ya Kanisa ni ya mchungaji.
Kumbe hawadaiwi nauli? Ngoja siku nitafute bible nijitoe ufahamu.Wengine hawana nauli hivyo wanatumia njia hio kujipatia nauli ya kuwapeleka wanapoenda
Wapo kazini wale, watakula wapi? 😀Mimi nilichokuwa nashauli wasitutoze sadaka
Akimaliza kuhubiri utoe sadakaKumbe hawadaiwi nauli? Ngoja siku nitafute bible nijitoe ufahamu.