Hawa wake za viongozi waliotoa msaada Hanang ni taasisi? Imesajiliwa lini na chanzo chake cha mapato ni kipi?

Unasumbuliwa na wivu tu. Kwani wewe na rafiki zako mkikubaliana kuungana na kwenda kutoa msaada ni lazima muwe taasisi iliyosajiriwa, na mseme pesa mmetoa wapi? Wivu wako ni wa kike sana!
 
Unasumbuliwa na wivu tu. Kwani wewe na rafiki zako mkikubaliana kuungana na kwenda kutoa msaada ni lazima muwe taasisi iliyosajiriwa, na mseme pesa mmetoa wapi? Wivu wako ni wa kike sana!
Kwi Kwi Kwi
 
Embu kaa kwa kutulia huko.mmeshindwa kutoa misaada na CHADEMA yako sasa mnaanza kuumia na kuwa na chuki mnapoona watu wenye mioyo ya upendo wakiendelea kumiminika kutoa misaada yao kwa waathirika wa maporomoko ya udongo.mlifikiri msipotoa nyie kwamba wengine hawatatoa ? Mpaka leo mmekusanya shilingi ngapi kupitia kale kanamba kenu muliko weka pamoja na picha ya Mbowe kama ndiye mhanga mwenyewe?
 
Jibuni maswali mliyoulizwa , mbona ni rahisi sana !
 
We unajulikana kwa upumbavu wako, ni wa kupuuzwa
 
Hata kama wanauza Unga lakini kama wanasaidia Jamii sioni tatizo lolote.
 
Nmekumbuka eotf wama nk

Wamama mule walinona kwerikweri

Ova
 
Chanzo cha mapato ni kodi za wanyonge zinapigwa haswa
 
CHADEMA mna matatizo ya akili. Mke wa jaji mkuu hawezi kuchangia milioni tatu kweli? Sasa wakiwa na makamu wa rais, waziri mkuu, wakafika 20 hawawezi kusaidia hicho kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…