UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Unasumbuliwa na wivu tu. Kwani wewe na rafiki zako mkikubaliana kuungana na kwenda kutoa msaada ni lazima muwe taasisi iliyosajiriwa, na mseme pesa mmetoa wapi? Wivu wako ni wa kike sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haina maana kwamba naandika kama Afisa habari wa Chadema🏃♂️💨🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️💨
Kwi Kwi KwiUnasumbuliwa na wivu tu. Kwani wewe na rafiki zako mkikubaliana kuungana na kwenda kutoa msaada ni lazima muwe taasisi iliyosajiriwa, na mseme pesa mmetoa wapi? Wivu wako ni wa kike sana!
Jibuni maswali mliyoulizwa , mbona ni rahisi sana !Embu kaa kwa kutulia huko.mmeshindwa kutoa misaada na CHADEMA yako sasa mnaanza kuumia na kuwa na chuki mnapoona watu wenye mioyo ya upendo wakiendelea kumiminika kutoa misaada yao kwa waathirika wa maporomoko ya udongo.mlifikiri msipotoa nyie kwamba wengine hawatatoa ? Mpaka leo mmekusanya shilingi ngapi kupitia kale kanamba kenu muliko weka pamoja na picha ya Mbowe kama ndiye mhanga mwenyewe?
We unajulikana kwa upumbavu wako, ni wa kupuuzwaKwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina.
Hata hivyo ni vizuri tukafahamu huko ilikotokea misaada hii , wala haijawahi kuwa dhambi kufahamu chanzo cha msaada wowote ule , lengo la kujua hili ni kuepuka magenge ya utakatishaji wa fedha ama kupokea misaada ya wauza unga.
Hawa wanaojiita Wenza wa Viongozi ni akina nani , ni wake zao au ni nyumba ndogo zao? hii Taasisi ya wenza wa viongozi imesajiliwa lini na wapi , namba ya usajili wao ni ipi na malengo yao ni yapi? wanapata wapi hela za kutoa misaada hii na ni nani anayewapa hela hizo na kwanini?
View attachment 2847275
Tukiacha mambo haya bila kuhoji iko siku watakuja Watoto wa viongozi , binamu wa viongozi au Hata umoja wa wazazi wa viongozi
Ni vema utaratibu unaoeleweka ukatumika kwa yeyote anayetaka kuchangia chochote kwenye maafa , badala ya kuleta makundi yasiyo na tija yoyote .
Naomba kuwasilisha .
Ngoja niache ile ya Nkata bay nianze kuvuta ya morogoroPunguza bange
Sasa mjomba hayo maswali niliyouliza yana ugumu gani ?We unajulikana kwa upumbavu wako, ni wa kupuuzwa
Chanzo cha mapato ni kodi za wanyonge zinapigwa haswaKwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina.
Hata hivyo ni vizuri tukafahamu huko ilikotokea misaada hii , wala haijawahi kuwa dhambi kufahamu chanzo cha msaada wowote ule , lengo la kujua hili ni kuepuka magenge ya utakatishaji wa fedha ama kupokea misaada ya wauza unga.
Hawa wanaojiita Wenza wa Viongozi ni akina nani , ni wake zao au ni nyumba ndogo zao? hii Taasisi ya wenza wa viongozi imesajiliwa lini na wapi , namba ya usajili wao ni ipi na malengo yao ni yapi? wanapata wapi hela za kutoa misaada hii na ni nani anayewapa hela hizo na kwanini?
View attachment 2847275
Tukiacha mambo haya bila kuhoji iko siku watakuja Watoto wa viongozi , binamu wa viongozi au Hata umoja wa wazazi wa viongozi
Ni vema utaratibu unaoeleweka ukatumika kwa yeyote anayetaka kuchangia chochote kwenye maafa , badala ya kuleta makundi yasiyo na tija yoyote .
Naomba kuwasilisha .
CHADEMA mna matatizo ya akili. Mke wa jaji mkuu hawezi kuchangia milioni tatu kweli? Sasa wakiwa na makamu wa rais, waziri mkuu, wakafika 20 hawawezi kusaidia hicho kidogo?Kwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina.
Hata hivyo ni vizuri tukafahamu huko ilikotokea misaada hii , wala haijawahi kuwa dhambi kufahamu chanzo cha msaada wowote ule , lengo la kujua hili ni kuepuka magenge ya utakatishaji wa fedha ama kupokea misaada ya wauza unga.
Hawa wanaojiita Wenza wa Viongozi ni akina nani , ni wake zao au ni nyumba ndogo zao? hii Taasisi ya wenza wa viongozi imesajiliwa lini na wapi , namba ya usajili wao ni ipi na malengo yao ni yapi? wanapata wapi hela za kutoa misaada hii na ni nani anayewapa hela hizo na kwanini?
View attachment 2847275
Tukiacha mambo haya bila kuhoji iko siku watakuja Watoto wa viongozi , binamu wa viongozi au Hata umoja wa wazazi wa viongozi
Ni vema utaratibu unaoeleweka ukatumika kwa yeyote anayetaka kuchangia chochote kwenye maafa , badala ya kuleta makundi yasiyo na tija yoyote .
Naomba kuwasilisha .
Unajulikana sana John pambalu.Mimi siyo Chadema , naitwa Erythrocyte
Sheria za jf zinakataza Name callingUnajulikana sana John pambalu.
Karibu sana jfSwali na kijinga kabisa mwishoni mwa mwaka