Hawa wakiacha kuhonga ni matajiri, pesa zipo tatizo sketi

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
1. Mafundi Ujenzi - Saiti mpya dem mpya



2. Mafundi Simu - ni tangu enzi za miaka ya 2000s nawajua vizuri, kwa kuhonga wana b+



3. Wauza mitumba - mabalo ya mitumba yana faida kubwa sana, tatizo kuhonga



4. Boda boda - honga yao ni lift za bure na wanajuaga nani kabanwa na marejesho wanamuibukia



5. Wauza chips - wanatoa ofa nyingi za chips na pesa juu

 
Kuna watu kwenye maisha hawana motivation. Hasa hawa wasiotenda dhambi. Ndio maana Wasabato huwa hawawi mabilionea mara nyingi.

Sasa kuna watu motivation yao ya kutafuta ni pombe au wanawake, au kujenga, au waliishi maisha magumu utotoni, au wazazi hawana nyumba.

Ukiwa na motivation mbaya ndio hivyo sasa unafanya kazi matokeo chanya hatuyaoni.
 
Mkuu hiyo Picha yangu umebandika bila ruhusa yangu....Mwenye Namba ya Kibatala aniwekee hapa.
 
Bila wanawake wanaume tucngefanya kazi.
 
Wewe upo kundi gani? Au ni tajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ