Hawa wakiacha kuhonga ni matajiri, pesa zipo tatizo sketi

Hawa wakiacha kuhonga ni matajiri, pesa zipo tatizo sketi

Tumekupa mpaka mbege ikuchangamshe ila wapi Bado swagger hazipo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
secretarybird tumchanganyie na nini huyu ndugu aweze kupata maaujuzi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tuchanganue mbege na gongo ama piiwa natumai mdomo wake haitakuwa na ujauzito pindi atakapokutana na mtoto wa kike.

Atapata demu awamu hii nakwambia
 
1. Mafundi Ujenzi - Saiti mpya dem mpya

View attachment 3377122

2. Mafundi Simu - ni tangu enzi za miaka ya 2000s nawajua vizuri, kwa kuhonga wana b+

View attachment 3377123

3. Wauza mitumba - mabalo ya mitumba yana faida kubwa sana, tatizo kuhonga

View attachment 3377125

4. Boda boda - honga yao ni lift za bure na wanajuaga nani kabanwa na marejesho wanamuibukia

View attachment 3377126

5. Wauza chips - wanatoa ofa nyingi za chips na pesa juu

View attachment 3377127
Yote Ni Mitizamo tu.
 
Kila mtu ni mhongaji kwa namna yake, huwezi amini hata mapadre na masheikh ni wahongaji wazuri tu, mafundi umetuonea mleta mada, kwanza hela yetu inapatikana kwa shinda mno, lazima uumuze sana akili , kisha utumie sana nguvu, jasho litoke sana na hata damu kwa kuumia! kisha ukahonge kiwepesi hivyo! Sio kweli aisee.
 
Back
Top Bottom