Hawa wakiacha kuhonga ni matajiri, pesa zipo tatizo sketi

Tumekupa mpaka mbege ikuchangamshe ila wapi Bado swagger hazipo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
secretarybird tumchanganyie na nini huyu ndugu aweze kupata maaujuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuchanganue mbege na gongo ama piiwa natumai mdomo wake haitakuwa na ujauzito pindi atakapokutana na mtoto wa kike.

Atapata demu awamu hii nakwambia
 
Yote Ni Mitizamo tu.
 
Kila mtu ni mhongaji kwa namna yake, huwezi amini hata mapadre na masheikh ni wahongaji wazuri tu, mafundi umetuonea mleta mada, kwanza hela yetu inapatikana kwa shinda mno, lazima uumuze sana akili , kisha utumie sana nguvu, jasho litoke sana na hata damu kwa kuumia! kisha ukahonge kiwepesi hivyo! Sio kweli aisee.
 
Mafundi ujenzi ndio wanaongoza kwa kuhongaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…