Uchaguzi 2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

Uchaguzi 2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

Nani kakuambia wafanyakazi wa serikali (umma ) watampigia ccm kura? ndugu bora useme wengine ila siyo wafanyakazi wa umma hao hata Magu anajua hawamtaki kwa wingi wao
sikumaanisha hivyo
nilimaanisha awajumlishe walovunjiwa na kutumbuliwa na wafanyakazi wa serkali wote kwa ujumla wao bado ni wachache sana kuliko wanachama pekee wa ccm

Sorry nafkir sikupangilia maneno viziri kwe koment yangu apo 👆
 
Kama unamsikiliza Tundu Lissu kwenye mikutano utaamini ya kwamba Lissu ni mtu mwenye kuongea kwa utulivu na unaweza kumuelewa vizuri

TunduALissu anasema Kila kitu kinawezekana na huu ni wakati wetu.

Uonevu wa maccm SasaBasi tusifanye tena makosa yaliyofanywa miaka 59 iliyopita

#VOTEFORLISSU
 
Ndiyo maana namomba Lisu akazie sana watu hapo juu uliowataja, hawa kila mmoja angalau awavute watu 10 wa kumpigia kura Lisu, basi kama ulivyosema mchezo umekwisha!
Chadema mnandoto nzuri[emoji23][emoji23]
 
Na wote lazima tupige kura labda kama tutalogwa kipindupindu siku hiyo.
 
acha kudhania!!

Sibahatishi ninachokisema. Kwa taarifa yako sasa hivi kwenye kizazi hiki kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa sio fashion. Sasa hivi vyama viko mioyoni mwa watu zaidi kuliko kuwa wanachama kwa maana ya itikadi. Ccm wangalau kwenye vitabu vyake inaweza kuwa na wanachama wengi kwa mantiki ya kuuza kadi, lakini wanachama wafuata itikadi yao ni vijana wachache sana na wazee wengi. Zaidi ya 70% ya wanaomiliki kadi, wanazimiliki kwa minajidili ya kufanikisha shughuli zao, ambapo ukiwa na kadi ya ccm ni rahisi kupewa upendeleo kwenye mifumo na taasisi kadhaa za nchi.
 
hao ulowataja hawana madhara katika ushindi wa ccm, wenye madhara zaidi na wanaosababishaga miaka yote baadhi ya maeneo wapinzani kupita ni wale wanaokatwa baada ya mchakato wa kuteua wagombea

hawa mabwana pamoja na watu wao hupigia kura upinzani japo wapo ccm, ccm wanapaswa kubadili mfumo maana kama lengo ni yeyote katika hao 3 bora walopigiwa kura na wajumbe, wawe wanaandika majina yao wote na jimbo lake kisha vinatiwa kwenye box ambalo mwenyekiti atafunua kimoja kimoja na atakaebahatika kusomwa mwanzo ndo agombee jimbo husika hh itafuta dhana ya uonefu na wote waloshindwa watakubali kushindwa kihalali
 
Sibahatishi ninachokisema. Kwa taarifa yako sasa hivi kwenye kizazi hiki kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa sio fashion. Sasa hivi vyama viko mioyoni mwa watu zaidi kuliko kuwa wanachama kwa maana ya itikadi. Ccm wangalau kwenye vitabu vyake inaweza kuwa na wanachama wengi kwa mantiki ya kuuza kadi, lakini wanachama wafuata itikadi yao ni vijana wachache sana na wazee wengi. Zaidi ya 70% ya wanaomiliki kadi, wanazimiliki kwa minajidili ya kufanikisha shughuli zao, ambapo ukiwa na kadi ya ccm ni rahisi kupewa upendeleo kwenye mifumo na taasisi kadhaa za nchi.
Jana nineona mdada mmoja hapa kimara ananioneaha kadi zake tatu ya CCM, Chauma na ACT- wazalendo lakini akaniambia kyra yake ni kwa Rais, Mbunge na Diwani wa Chadema. I was shocked. Lakini ndio siasa za sasa. Hata kule zanzibar unaweza kudhani wote ni wanaccm maana wote wana kadi
 
Sibahatishi ninachokisema. Kwa taarifa yako sasa hivi kwenye kizazi hiki kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa sio fashion. Sasa hivi vyama viko mioyoni mwa watu zaidi kuliko kuwa wanachama kwa maana ya itikadi. Ccm wangalau kwenye vitabu vyake inaweza kuwa na wanachama wengi kwa mantiki ya kuuza kadi, lakini wanachama wafuata itikadi yao ni vijana wachache sana na wazee wengi. Zaidi ya 70% ya wanaomiliki kadi, wanazimiliki kwa minajidili ya kufanikisha shughuli zao, ambapo ukiwa na kadi ya ccm ni rahisi kupewa upendeleo kwenye mifumo na taasisi kadhaa za nchi.
Mkuu utafiti wako uliufanyia wapi?
lini?

kuko kudhania kwako kunafanya nkuone unamihemuko binafsi
 
Mkuu utafiti wako uliufanyia wapi?
lini?

kuko kudhania kwako kunafanya nkuone unamihemuko binafsi

Kwani utafiti wa hali halisi ni lazima utumie nguvu kubwa? Niko hapa hapa nchini na uhalisia naujua boss.
 
We mzee kumbe unafanana sana matendo na nyumbu

Ok wapigakura ni ml28 je ukijumlisha hao wote unapata ngapi? ukitaka +na wafanyakazi wa serikali
wanachama wa ccm pekee wanatosha kumrudisha jpm madarakani
nyie endeleeni kupiga ramli tuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ccm haina wanachama wote hao. Ile ni namba za kuzingulia watu .
 
Kwa kura za mitandaoni Lissu tayari ni rais ila hataweza kuwa rais tabia yake ya kupingapinga hata mambo mazuri haitamsaidia
 
Kwani utafiti wa hali halisi ni lazima utumie nguvu kubwa? Niko hapa hapa nchini na uhalisia naujua boss.
M mwenyewe npo tanzania na hali halisi ni vijana wengi sana watampigia kura magu sababu kazi yake inaonekana kuanzia kuwabana mafisadi hadi kuongeza uwajibikaji kwa ofisi za serkali hadi jinsi alivyopambana na covd19 wote niliongea nao wamenihaidi kuumpa kura
 
Back
Top Bottom