Uchaguzi 2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

Kwa ngazi zote za Urais, Ubunge na Udiwani. Kama chama tawala kinachoomba ridhaa ya miaka mitano mingine, tukeshe tukiomba kuwa hawa wafuatao wasiende kupiga kura Oktoba 28 mwaka huu. Wakienda na wakipiga kura, CCM hatutakuwa na chetu. Watapiga kura za uchungu na kuukataa uchungu zaidi. Zitakuwa kura za kuponya mioyo yao kwakuwa watakuwa wametoa maumivu yao kupitia kukataa.

Hawa wakienda kupiga kura, CCM lazima ije na mbinu mbadala kuliko daladala. Wataikataa CCM na wagombea wake mchana peupe. Wataikataa CCM na wagombea wake kwa kutumia kadi zao za kupigia kura, kwenda kwao kupiga kura. CCM itakataliwa kwa maumivu yaliyotokana na matendo na maneno ya Serikali iliyoundwa nao. Nawataja wa uchache watu hao ambao kama CCM tunapaswa kukesha tukiomba wasiende kupiga kura.

Waliobomolewa nyumba na biashara zao bila kulipwa fidia pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofukuzwa kazi kwa sakata la vyeti bila kupewa hata sumni pamoja na kufanya kazi kwa miongo kadhaa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliopatwa na majanga ya asili bila kupata msaada wa kiserikali pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofungiwa biashara na shughuli zao za kiuchumi kwa njia za kibabe pamoja na wategemezi wao.

Na wote ambao wameoisoma namba kwa namna moja au nyingine!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Uko sahihi kabisa...hao hawataipigia kura CCM ...lakini effect yao ni ndogo Sana...hata mafisadi nao hawataipigia kura CCM....jumla yao hawafiki hata 40000 nchi nzima....ila kwa upande mwingine wale wote waliotukanwa na Chadema kuwa ni wajinga kwa kuwa wanaipenda CCM, na mikoa yote ile Kama dodoma, tabora, tanga, ruvuma, lindi, mtwara, rukwa na mingine mingi Kama Pwani na kadhalika iliyodhalilishwa na Chadema kuwa ni maskini na haojitambui na ni mbumbumbu na watu wake hawajasoma na wanaishi kwenye nyumba za udongo na ndiyo maana inaichagua CCM hii yote Chadema haitapata kitu...na mikoa yote hii ikiwemo shinyanga, mwanza ina zaidi ya robo tatu ya wapiga kura...
 
Mkuu sijui kama umemuelewa vizuri mleta mada.

Kasema hayo makundi aliyoyataja, jumlisha na wategemezi wao. Mfano mimi na mke wangu tulimlipia ada mtoto wa kaka yetu ili akasome pale udom, baadae akafurushwa kama mbwa koko na kuachwa bila vision yoyote na sasa yuko hapa kijijini analimia watu mashamba huku akiwa ameoa mke.

Sasa, chuku huyo mtoto, mimi na mke wangu, kaka yetu na mkewe (wazazi wa yule mtoto) na mke wa mtoto. Hapa kwa haraka unapata KURA 6 bila kujumlisha ndugu zangu ambao walichukia, ndugu wa mtoto yule nk.

Bila kuiba kura ccm haitoboi ndugu!! Huu ndo ukweli
Usifikiri kwamba hao walioforge n.k ni hulka yao hivyo wanatambua makosa yao na kwanini serikali ilifanya hivyo, kwa sababu mfumo huo usingeweza kuwasaidia waliokuwa wanawasomesha n.k, hivyo haukuwa mfumo endelevu.
Kuhusu mafao wanajua sababu sio JPM, na investment zake, bali makosa yalio fanyika huko nyuma ambayo JPM anapambana nayo.
Labda kama umewafanya hao watu ni nyumbu basi watafanya kama unavyowaza wewe
 
Lete takwimu zako
Go with facts, just simple logic!. Katika nchi zetu, tena ambazo zinaamrishwa kufyatua watoto, zaidi ya nusu ya wakazi huwa ni watoto. Kwa 28m hesabu ya NEC ya watu waliojiandikisha, ni sawa na kuwa watu wazima wote wamejiandikisha. Huo ni uongo. Sina takwimu zangu, Sheria ya takwimu haziruhusu.
 
for me kupiga siasa kipindi ambacho sio cha kampeni its a no for me! ningependa washikilie kabisa hapo, thats bullshit, ni mara mia kila mtu afanye kwenye jimbo lake

-wewe kampeni zishaisha unaenda kuwaambia nn? wacha watu wafanye kazi bana! na ningependa iwe marufuku kufanya kampeni kipindi ambacho sio cha uchaguzi
Unajua kuna watu siasa ndio kazi yao? Unajua kuna muda wa kazi na wa kupumzika? Unajua kuna watu(me incl) hawana muda kwenda kuwasikiliza wanasiasa?
 
W
We mzee kumbe unafanana sana matendo na nyumbu

Ok wapigakura ni ml28 je ukijumlisha hao wote unapata ngapi? ukitaka +na wafanyakazi wa serikali
wanachama wa ccm pekee wanatosha kumrudisha JPM madarakani
nyie endeleeni kupiga ramli tuu 😁😁😁
Wanachama wenyew wa ccm wanamuelewa lisu,wamechoka kuendeshwa kibabe na huyo mrundi wenu
 
ngoja nijikite kwe ajira...hayo mengine kwangu ni blablaa tuu

Je ni mazingira gani mazuri unayoyamaanisha maana hadi hapa walpofkiaa kwa kuanzia panatosha
1)mikopo kwa walemavu
2)mikopo kwa vijana
4)mikopo ya vikundi
[emoji115]hiyo yote hutolewa na halmashauri so nenda kwe halmashaur uliopo kwa maelezo zaidi

Bado pia sekta binafsi zinatoa mikopo nafuu na serkali ilpunguza riba

jmn msisahau bado nchi yetu ni maskini tunajikongoja mdomdo hata nyie wapinzani(wote)mkipewa inchi saiv bado itawachukua zaidi ya miaka 20 mabadiliko mnayoubiri kuonekana

by the way mimi sio mwanasiasa ni vile tuu najua how government works
Contradiction! Unadai wewe si mwana siasa lakini kuna watu unawaita 'wapinzani'
 
Dawa ni moja tu,kufuta uchaguzi na fedha kuelekezwa ujenzi wa Flyover.
 
Kundi la Vijana kuanzia 18 mpaka 40 ndio wanaenda kufanya mageuzi, Sababu kuanzia miaka 40+ Hawa watu wanakua wamepoteza matarajio wanaishi tu kulingana na hali bila kujua maisha mabaya wanayoishi leo yanachangiwa pakubwa na chaguzi walizofanya siku zilizopita. Hivyo wanamabadiliko wote lazima watachagua mabadiliko.
 
Kwa ngazi zote za Urais, Ubunge na Udiwani. Kama chama tawala kinachoomba ridhaa ya miaka mitano mingine, tukeshe tukiomba kuwa hawa wafuatao wasiende kupiga kura Oktoba 28 mwaka huu. Wakienda na wakipiga kura, CCM hatutakuwa na chetu. Watapiga kura za uchungu na kuukataa uchungu zaidi. Zitakuwa kura za kuponya mioyo yao kwakuwa watakuwa wametoa maumivu yao kupitia kukataa.

Hawa wakienda kupiga kura, CCM lazima ije na mbinu mbadala kuliko daladala. Wataikataa CCM na wagombea wake mchana peupe. Wataikataa CCM na wagombea wake kwa kutumia kadi zao za kupigia kura, kwenda kwao kupiga kura. CCM itakataliwa kwa maumivu yaliyotokana na matendo na maneno ya Serikali iliyoundwa nao. Nawataja wa uchache watu hao ambao kama CCM tunapaswa kukesha tukiomba wasiende kupiga kura.

Waliobomolewa nyumba na biashara zao bila kulipwa fidia pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofukuzwa kazi kwa sakata la vyeti bila kupewa hata sumni pamoja na kufanya kazi kwa miongo kadhaa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliopatwa na majanga ya asili bila kupata msaada wa kiserikali pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofungiwa biashara na shughuli zao za kiuchumi kwa njia za kibabe pamoja na wategemezi wao.

Na wote ambao wameoisoma namba kwa namna moja au nyingine!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Uliyosema ni kweli; lakini wote hawafikii hata asilimia 10 ya watanzania wote kwa sababu kadhaa ambao hakuna haja ya kuzitaja kwa vile ni nyingi kidogo.
 
Msikilize kilaza wa maccm na usomi wake uchwara.

"Ombi letu ni kwamba maji yetu hapa yaharakishwe kwa sababu, maji ya hapa yanatoka kama matope ni machafu sana, wananchi wa Kasulu hawana matatizo kabisa na ccm_tanzania na wamesema kura zote wanakupa wewe Meko"- Prof Ndalichako
 
Sikuelewi
 
Unajua kuna watu siasa ndio kazi yao? Unajua kuna muda wa kazi na wa kupumzika? Unajua kuna watu(me incl) hawana muda kwenda kuwasikiliza wanasiasa?

siasa is a no kipindi ambacho sio cha kampeni, hakuna nchi inaendeshwa na siasa kila sku, wacha watu wafanye kazi
 
We mzee kumbe unafanana sana matendo na nyumbu

Ok wapigakura ni ml28 je ukijumlisha hao wote unapata ngapi? ukitaka +na wafanyakazi wa serikali
wanachama wa ccm pekee wanatosha kumrudisha JPM madarakani
nyie endeleeni kupiga ramli tuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sio milioni 6 kweli??[emoji6][emoji6]
 
Kwa ngazi zote za Urais, Ubunge na Udiwani. Kama chama tawala kinachoomba ridhaa ya miaka mitano mingine, tukeshe tukiomba kuwa hawa wafuatao wasiende kupiga kura Oktoba 28 mwaka huu. Wakienda na wakipiga kura, CCM hatutakuwa na chetu. Watapiga kura za uchungu na kuukataa uchungu zaidi. Zitakuwa kura za kuponya mioyo yao kwakuwa watakuwa wametoa maumivu yao kupitia kukataa.

Hawa wakienda kupiga kura, CCM lazima ije na mbinu mbadala kuliko daladala. Wataikataa CCM na wagombea wake mchana peupe. Wataikataa CCM na wagombea wake kwa kutumia kadi zao za kupigia kura, kwenda kwao kupiga kura. CCM itakataliwa kwa maumivu yaliyotokana na matendo na maneno ya Serikali iliyoundwa nao. Nawataja wa uchache watu hao ambao kama CCM tunapaswa kukesha tukiomba wasiende kupiga kura.

Waliobomolewa nyumba na biashara zao bila kulipwa fidia pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofukuzwa kazi kwa sakata la vyeti bila kupewa hata sumni pamoja na kufanya kazi kwa miongo kadhaa pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliopatwa na majanga ya asili bila kupata msaada wa kiserikali pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao; waliofungiwa biashara na shughuli zao za kiuchumi kwa njia za kibabe pamoja na wategemezi wao.

Na wote ambao wameoisoma namba kwa namna moja au nyingine!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kagera, Tanzania)
Waende tu ili tuone ukweli wa haya usemayo. Jitahidi uwahimize waende kwani ni haki yao ya kikatiba kuchagua yule wamtakaye au chama wakitakacho badala ya kuingiza uzushi na "vitisho - mtoto" humu. Hatishiwi mtu NYAU hapa.
 
Back
Top Bottom