Uchaguzi 2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

Ujajibu swali, kwenye Makampuni makubwa hapo ushakosa kazi

what else do you want me to tell you sasa na jibu ni straight forward apo ukiweka akili vizuri: najua unataka kusema kunyimwa kufanya mkutano ndo ilichosababisha,
 
Wacha ushabiki. Hao unaowasema pamoja na washabiki wao hafiki 300,000. Walioachishwa kazi kwa sababu ya vyeti vya kugushi, hao wengi wao hawakua na msaada na ndugu na walaribu wao, no support there.

Tafuta sababu zingine za kinafiki hizi hazitafanya kazi
 
Sawa kabisa kwa hao wakienda kupiga kura. Ila hawa ni uhakika wataenda kupiga kura maana wao na familia zao imewatendea yaliyostahili, na wanahitaji Rais Magufuli aendelee kuwepo ili miradi mikubwa ikamilike:-

√ Wafanya biashara ambao mgao wa umeme ulikuwa unaathiri shughuli zao. Kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere ni tegemeo lenye neema kwa uhakika wa umeme wenye bei nafuu;

√ Wafanya biashara wasafirishaji wa mizigo mbalimbali kwa njia ya barabara, maji, reli na anga. Miundombinu hiyi siyo tu inaboreshwa nchi nzima ila inaongezwa yenye uimara ubora wa yhakika;

√ Wakulima walioshindwa kuuza mazao yao kwa sababu ya uchakavu na/au kutukuwepo miundombinu;

√ Wakazi wa miji mikubwa, km DSM, ambao foleni za magari zimekuwa zukagaribubratiba za shughuli za kijamii na maendeleo;

√ Wafanya biashara ndogondogo (machinga na mama nitilie) waliokuwa wakisumbuliwa na mamlaka kupewa vitambulisho vyenye kulipiwa 60/= kwa siku. Sasa wanafanya biashara zao kwa amani kabisa na kiasi wanaotembeza wamepungua;

√ Wachimbaji madini wadogo wadogo kupewa nafasi za kufanya hivyo bika bufhuza na masoko ya uhakika la madini yao yalitojengwa kwenye maeneo yao;

√ Wakulima na wauza mazao ya shambani ambao walisumbuliwa na uwepo wa mageti barabarani, sasa rukhsa kusafirisha hayo mazao yasiyozidi Tani1, bila bughuza;
√ Wakina mama wajawazito waliosogezewa huduma karibu na makazi yao baada ya kujengewa au kuboreshewa zahanati, vituo vya afya na hispitali;

√ Wazazi wasio na uwezo wa kulipia ada sasa watoto wanaendelea na masomo;
√ Wasomi walio na sifa za kuajiriwa wakaziba pengo la wale waliondolewa kwa kutokuwa na sifa; nk

Idadi hii, yenye uhakika wa kupiga kura ni kubwa maradufu kulinganisha na hiyo uliyotaja, Mkuu VUTA-NKUVUTE, na hata ukiongeza na hao wanaoshawishika hakuna Uhuru na Haki, ati kutakuwepo maendeleo ya watu. VITUKO
 

Na kweli ww sio mwanasiasa ndio maana unaleta porojo. Unasema nchi yetu bado ni masikini, huku unayetaka tumpe kura anasema nchi hii ni tajiri sana, tushike lipi? Inaonekana hujui lolote ndio maana umetekwa na hivi vikundi vya propaganda, ndio maana unasema niende halmashauri nikapate mkopo.

Unajua sifa na kiwango cha kupata huo mkopo wa halmashauri, achia mbali usumbufu wake? Inaonekana ww ni mtu wa ofisini, ndio maana unaongea nadharia za kwenye vyombo vya habari vinavyobeba propaganda za serikali. Ni vyema ukakaa kimya tu.
 
CCM wakiona watu wamejaa kwenye mkutano wa chadema utasikia "hao wote hawana kadi za mpiga kura",endeleeni kujidanganya,hata kama NEC watampitisha magu ila lazima tukatoe ujumbe kwake kwamba tumemchoka
 
we nae acha udunya basi mbona nakueshimu.
we ujui nchi ni maskini wa kipato tajiri wa maliasili?

mtashikiwa akili adi lini?

nshaona vijana chungu mzima wakinufaika na iyo mikopo
mfn;mwanza kuna vijana waliungana na wamefungua sehemu ya kutengeneza na kuuza tofali
iringa apo ruahambuyuni wapo graduate wa sua wanashamba kubwa tuu la vitunguu

mkuu pambana hakuna wa kukuletea ela nyumbani!!!

anyway kwani ILANI yenu inasemaje juu ya ķuwakwamua vijana?
 
sikumaanisha hivyo
nilimaanisha awajumlishe walovunjiwa na kutumbuliwa na wafanyakazi wa serkali wote kwa ujumla wao bado ni wachache sana kuliko wanachama pekee wa ccm

Sorry nafkir sikupangilia maneno viziri kwe koment yangu apo [emoji115]
Mkuu sijui kama umemuelewa vizuri mleta mada.

Kasema hayo makundi aliyoyataja, jumlisha na wategemezi wao. Mfano mimi na mke wangu tulimlipia ada mtoto wa kaka yetu ili akasome pale udom, baadae akafurushwa kama mbwa koko na kuachwa bila vision yoyote na sasa yuko hapa kijijini analimia watu mashamba huku akiwa ameoa mke.

Sasa, chuku huyo mtoto, mimi na mke wangu, kaka yetu na mkewe (wazazi wa yule mtoto) na mke wa mtoto. Hapa kwa haraka unapata KURA 6 bila kujumlisha ndugu zangu ambao walichukia, ndugu wa mtoto yule nk.

Bila kuiba kura ccm haitoboi ndugu!! Huu ndo ukweli
 
Wafuasi wa Ccm, hata kusoma na kuandika hamjui ?!. Bado una nafasi rudi ukajiongezee maarifa
 
Chagua JPM chagua ufukara, kutekwa na kuptezwa, kuonewa ktk misingi ya itikadi, neonate salaries, "kupoteza" mafao yako,.......... don't try even...
Chagua JPM kwa maendeleo ya TZ.
 
Na watumishi wa umma, ndugu, jamaa na rafiki zao.
 
Chagua JPM kwa maendeleo ya TZ.
Chagua JPM chaguwa matatizo, chagua kutekwa,kupoteza na wasio julikana, chagua mshahara wako kubaki vile vile, chagua kudhulumiwa na mifuko ya hifadhi za jamii, chaguwa kulipishwa kodi ya kukata mtaji, chagua kufilisika, chagua kukosa uhuru wa itikadi yako, chaguwa kunyang'anywa mazao yako, chagua kulimia meno,........kwa miaka 5 tumeshuhudia kila ubaya, usifanye kosa tena. JPM hafai na ushahidi upo.
 
Wanaachaje kwenda kupiga kura

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Lissu wakati yupo Mafinga, kuna kauli moja aliisema

"Unakuta gari nyuma kwenye bamba wameandika mpaji Mungu, hii sikweli, vingine vipo ndani ya uwezo wetu. Afrika Mashariki mbao zinatoka Mufindi kwa wingi, alafu barabarab zenu mbovu, hapo mpaji sio Mungu"

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hao kwani wingi wao kulinganisha na umma wa watu ni kitu gani? Hao sio ndio wanaojaa kwenye mikutano ya cdm wala ccm haina hofu kukosa kura zao.
Cdm inawakilisha maslahi ya wabinafsi sio ya umma. Wako waliyoathirika binafsi sio wabinafsi kwa maslahi ya umma wataipigia ccm wengine wasipopigia haitakua neno sana ccm itashinda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…