Uchaguzi 2020 Hawa wakienda kupiga kura Oktoba 28, CCM hatuna chetu!

Uko sahihi kabisa...hao hawataipigia kura CCM ...lakini effect yao ni ndogo Sana...hata mafisadi nao hawataipigia kura CCM....jumla yao hawafiki hata 40000 nchi nzima....ila kwa upande mwingine wale wote waliotukanwa na Chadema kuwa ni wajinga kwa kuwa wanaipenda CCM, na mikoa yote ile Kama dodoma, tabora, tanga, ruvuma, lindi, mtwara, rukwa na mingine mingi Kama Pwani na kadhalika iliyodhalilishwa na Chadema kuwa ni maskini na haojitambui na ni mbumbumbu na watu wake hawajasoma na wanaishi kwenye nyumba za udongo na ndiyo maana inaichagua CCM hii yote Chadema haitapata kitu...na mikoa yote hii ikiwemo shinyanga, mwanza ina zaidi ya robo tatu ya wapiga kura...
 
Usifikiri kwamba hao walioforge n.k ni hulka yao hivyo wanatambua makosa yao na kwanini serikali ilifanya hivyo, kwa sababu mfumo huo usingeweza kuwasaidia waliokuwa wanawasomesha n.k, hivyo haukuwa mfumo endelevu.
Kuhusu mafao wanajua sababu sio JPM, na investment zake, bali makosa yalio fanyika huko nyuma ambayo JPM anapambana nayo.
Labda kama umewafanya hao watu ni nyumbu basi watafanya kama unavyowaza wewe
 
Lete takwimu zako
Go with facts, just simple logic!. Katika nchi zetu, tena ambazo zinaamrishwa kufyatua watoto, zaidi ya nusu ya wakazi huwa ni watoto. Kwa 28m hesabu ya NEC ya watu waliojiandikisha, ni sawa na kuwa watu wazima wote wamejiandikisha. Huo ni uongo. Sina takwimu zangu, Sheria ya takwimu haziruhusu.
 
Unajua kuna watu siasa ndio kazi yao? Unajua kuna muda wa kazi na wa kupumzika? Unajua kuna watu(me incl) hawana muda kwenda kuwasikiliza wanasiasa?
 
W Wanachama wenyew wa ccm wanamuelewa lisu,wamechoka kuendeshwa kibabe na huyo mrundi wenu
 
Contradiction! Unadai wewe si mwana siasa lakini kuna watu unawaita 'wapinzani'
 
Dawa ni moja tu,kufuta uchaguzi na fedha kuelekezwa ujenzi wa Flyover.
 
Kundi la Vijana kuanzia 18 mpaka 40 ndio wanaenda kufanya mageuzi, Sababu kuanzia miaka 40+ Hawa watu wanakua wamepoteza matarajio wanaishi tu kulingana na hali bila kujua maisha mabaya wanayoishi leo yanachangiwa pakubwa na chaguzi walizofanya siku zilizopita. Hivyo wanamabadiliko wote lazima watachagua mabadiliko.
 
Uliyosema ni kweli; lakini wote hawafikii hata asilimia 10 ya watanzania wote kwa sababu kadhaa ambao hakuna haja ya kuzitaja kwa vile ni nyingi kidogo.
 
Uliyosema ni kweli; lakini wote hawafikii hata asilimia 10 ya watanzania wote kwa sababu kadhaa ambao hakuna haja ya kuzitaja kwa vile ni nyingi kidogo.
Msikilize kilaza wa maccm na usomi wake uchwara.

"Ombi letu ni kwamba maji yetu hapa yaharakishwe kwa sababu, maji ya hapa yanatoka kama matope ni machafu sana, wananchi wa Kasulu hawana matatizo kabisa na ccm_tanzania na wamesema kura zote wanakupa wewe Meko"- Prof Ndalichako
 
Sikuelewi
 
Unajua kuna watu siasa ndio kazi yao? Unajua kuna muda wa kazi na wa kupumzika? Unajua kuna watu(me incl) hawana muda kwenda kuwasikiliza wanasiasa?

siasa is a no kipindi ambacho sio cha kampeni, hakuna nchi inaendeshwa na siasa kila sku, wacha watu wafanye kazi
 
Sio milioni 6 kweli??[emoji6][emoji6]
 
Waende tu ili tuone ukweli wa haya usemayo. Jitahidi uwahimize waende kwani ni haki yao ya kikatiba kuchagua yule wamtakaye au chama wakitakacho badala ya kuingiza uzushi na "vitisho - mtoto" humu. Hatishiwi mtu NYAU hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…