Hao majamaa wa Rwanda hawafai. Wakiingia sehemu wanataka wafanye biashara zote wao. Wanaua biashara zote ndogondogo. Na kwenye biashara wako vizuri. Hakuna nchi inayowataka katika hizi zinazotuzunguka.Wageni wasomali waliyokuja tz hawana shida maana wengi wamejikita kwenye mabiashara tu
Na wengineo ila jamii ya kirwanda wao wanataka watawale [emoji1]
Ova
Sio wamawia ni wamakua wa msumbijiWewe ni mwongo mkubwa. Mkapa na kizazi chake chote walikuwa ni wamawia wa Tanganyika.
Labada uulize kama yeye ni mdogo wangu. Unanisoma kwa uoga?Kwani wewe ni mdogo wake na Bi tozo?
Mrudi kwenu Oman
Kuwa Chief wa kabila au ukoo uliokuja siyo tija.Mkapa mmawia wa Ntwara, vizazi vyake vyote vilivyopo kwenye records.
Nyerere mtanganyika hasa. Na Baba yake alikuwa chief wa wazanaki. Kusema Nyerere hakuwa mtanganyika maana yake unataka kusema chief wa eneo moja aliweza kuondoka kwao na kwenda kutawala kingdom nyingine, jambo ambalo haliwezekani.
Hayo utayajuwa wewe, mimi Mtanganyika, nifukuzeni niende ubalozi wa Uingereza.Loh! Kumbe Faiza kichwani una mpungufu ya kiasi hicho?
Tafuta articles of union, uzisome. Kama hutaelewa, mtafute mwenye uelewa akufafanulie.
Kwa ufupi, articles of union, kuhusu uraia zinasema kuwa mtanzania ni raia yeyote ambaye kabla ya muungano alikuwa raia wa Tanganyika au Zanzibar.
Katiba iliyokuja kukoroga ni ile ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Kuna watu wanatafutwa wapigwe, Bolivia wewe ni mwizi na tapeli la kimataifa nakutafutia engo tu lazima ndugu zako wataanua tanga.Leo nimepigiwq simu na kada mmoja wa ccm anataka nimsaidie kurekebisha profile zake na cv zake then kaniambia
Usiogope taja kiasi unachotaka nikitoka kwenye kikao cha chama nakupigia usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkapa aliongea hilo mwenyewe asili yake ni Msumbiji kasome kitabu chake Cha "My life My purpose" utaliona hilo.Wewe ni mwongo mkubwa. Mkapa na kizazi chake chote walikuwa ni wamawia wa Tanganyika.
Yeye mwenyewe amelithibitisha hilo kupitia kitabu chake Cha "My life My purpose" amesema kabisa walikuja Tz kupitia mpaka wa Msumbiji na Tz na lengo.lao lilikua ni kutafuta maisha.Unaambiwa aliletwa na wajomba zake kutoka hko msumbiji
Ova
Ouattara was born on 1 January 1942,[2][3] in Dimbokro in French West Africa.[6] He is a descendant on his father's side of the Muslim rulers of Burkina Faso, then part of the Kong Empire—also known as the Wattara (Ouattarra) Empire. Ouattara is Muslim[7] and is a member of the Dyula people.[8] He received a Bachelor of Science degree in 1965 from the Drexel Institute of Technology (now Drexel University), in Philadelphia, Pennsylvania.[2] Ouattara then obtained both his master's degree in economics in 1967 and a Ph.D. in economics in 1972 from the University of Pennsylvania.[2]Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.
Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?
Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.
Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.
- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
Pitieni huu uzi
Wanaweza kuwa wanaamini hivyo ,ila dunia hairudi nyuma ,inakwenda mbele ,njia rahisi ya kukamata power ni through violence na vita,sasa sijui kama wana mkakati wowote wa siri wa kujiimarisha kijeshi,Katika wahaya 10 watano Wana asili ya Rwanda hasa Karagwe...wamekuja Tz kwa kuolewa, kuhamia, kuoa wengine basi tu ni watutsi waliojikuta Tz na wanapiga kihaya ile mbaya...
NB. Zamani watutsi, wahaya, wanyankole,wahima nk walikuwa chini ya utawala maarufu sana ulioitwa Bunyoro-kitara ambayo uliangushwa baada ya Buganda kingdom kushirikiana na waingireza kuiangusha miaka ya 1800...
Hii mipaka tu imewekwa na wazungu ila wote ni ndugu kwa namna moja au nyingine
Bado wengi ikiwemo wahaya, wanyankole, wahima, wairu,wakiga,na watutsi wanaamini ipo siku Bunyoro-kitara kingdom itarudi kwenye glory yake..
Ndo maana ukikaa na muhaya vzr utagundua hawapo kiivyo Tz...watz wengi wanawaita wakabila na wabaguzi lakini huo ndo ukweli ipo siku Kagera na Bukoba itaungana na Rwanda na sehemu ya Uganda kuunda kingdom mpya..
Ndo maana Hadi Leo subchief ya kihaya Bado zinafanya kazi ikiwemo ile iliyotawala kyamutwara Bukoba ya sasa...ikulu yake Bado ipo...
Karagwe siku zote ilitawaliwa na wahima wakina king Rumanyika na ipo siku kingdom zitarudi...
Ndo maana watu wa Kagera hata kuuza ardhi wa watu Baki ni ngumu mno
Facial features za Musukuma hafanani na watutsi mkuu,labda ungesema muhutu (na hawa ni wabantu wenzetu hawanaga shida,maana nao najua wanampigia hesabu PK siku ajichanganye watwae madaraka) wenye shida ni hao wafugaji WatutsiMusukuma ni mtusi...hakuna jina la ukoo la musukuma kwenye koo za kisukuma
Sawahizo ni kauli za wakimbiz kujilinda watu wasiamke
| Born | 4 August 1905 Nyasaland (now Malawi) |
|---|---|
| Died | 7 April 1972 (aged 66) Zanzibar City, Tanzania |
| Manner of death | Assassination, Gunshot wound |
| Resting place | Kisiwa Nduwi, Zanzibar Town |
| Nationality | Tanzanian |
| Political party | Afro-Shirazi Party |
| Spouse | Fatma Karume |