Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nilitaka nishangae kwa wingi wa wageni hapa nchini na jinsi wanavyozaliana na wazawa tangu enzi hizo..si wameteuliwa wengi mno wa mchongo??. Hii ni lazima tu, tumejaza wageni kila kona yaani..haya majiji makubwa makubwa haya....naye mama anajua ni raia kihalali kumbe anapigwa tu, tutatekwa na kuuzwa soon😕🙁
 
Wageni wasomali waliyokuja tz hawana shida maana wengi wamejikita kwenye mabiashara tu
Na wengineo ila jamii ya kirwanda wao wanataka watawale [emoji1]

Ova
Hao majamaa wa Rwanda hawafai. Wakiingia sehemu wanataka wafanye biashara zote wao. Wanaua biashara zote ndogondogo. Na kwenye biashara wako vizuri. Hakuna nchi inayowataka katika hizi zinazotuzunguka.
 
Mkapa mmawia wa Ntwara, vizazi vyake vyote vilivyopo kwenye records.

Nyerere mtanganyika hasa. Na Baba yake alikuwa chief wa wazanaki. Kusema Nyerere hakuwa mtanganyika maana yake unataka kusema chief wa eneo moja aliweza kuondoka kwao na kwenda kutawala kingdom nyingine, jambo ambalo haliwezekani.
Kuwa Chief wa kabila au ukoo uliokuja siyo tija.

Mwanawe anaitwa Andrew, hapahapa JF miaka iliyopita aliandika kuwa wao ni wajaluo wa Kenya.

Na Andrew huwa hajuwi kabisa kusema uongo.
 
Loh! Kumbe Faiza kichwani una mpungufu ya kiasi hicho?

Tafuta articles of union, uzisome. Kama hutaelewa, mtafute mwenye uelewa akufafanulie.

Kwa ufupi, articles of union, kuhusu uraia zinasema kuwa mtanzania ni raia yeyote ambaye kabla ya muungano alikuwa raia wa Tanganyika au Zanzibar.

Katiba iliyokuja kukoroga ni ile ya Zanzibar ya mwaka 1984.
Hayo utayajuwa wewe, mimi Mtanganyika, nifukuzeni niende ubalozi wa Uingereza.
 
Leo nimepigiwq simu na kada mmoja wa ccm anataka nimsaidie kurekebisha profile zake na cv zake then kaniambia

Usiogope taja kiasi unachotaka nikitoka kwenye kikao cha chama nakupigia usiku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanatafutwa wapigwe, Bolivia wewe ni mwizi na tapeli la kimataifa nakutafutia engo tu lazima ndugu zako wataanua tanga.
 
Huyu jamaa cdf sijamuelewa kabisa alikuwa na lengo gani?!ila tuseme tu ukweli wanajeshi wa Tanzania hawajawahi kuwa wazalendo ata nchii ikiuzwa watabaki wanakenua mahindi.Angalia kule magharibi mwa Afrika wanajeshi hawawezi kuongea ujinga wanalinda mataifa Yao dhidi ya wezi na sio kuongea upupu.
 
Nakumbuka zamani magazeti yetu yakuwa na ukurasa rasmi ya matangazo yawaomba uraia na uhamiaji nao wamekuwa Kama hawapo hivi ni wengi iko haha Sasa utaribu wa zamani umbaji wa raia urudishwe kwenye magazeti.ya selikali kwenye tv na kuwapinga tuwapinge, wakimbizi wajipenyeza Sana muyama,nyamgali,katundu,kajana,kilelema,shunga wilayani buhingwe, kalya wilaya uvinza, kalema,kakola wilaya Tanganyika mkoan katavi ukumbukwe kuwa na kitambulísho Cha taifa akifanyi mkimbizi yoyote aliye ndani ya jamuhuri ya muungano kuwa raia watanzania kilichofanyika tu kuwatambua tu kuwa wapi ndani ardhi ya Tanzania.

Na vile vile wamilikishwa mpaka ardhi wakati ni kinyume Cha Sheria zetu wakuu wa mikoa wapo,wakurugenzi , kamati za uinzi na usalama za mkoa zipo katika mikoa yote ya Tanzania wanayaona na wanafumbia macho kwa sababu kisiasa iko haja kuchukua hatua mapema kabla hajaribikiwa katika nnchi yetu
 
Operation ya kusafisha raia walioko Serikalini kama itafanikiwa itabidi kubadilisha na wimbo wetu wa Taifa kwa kuwa na wao kuna beti inawabeba kuwa uasili wao wa Uafrika baraka ziko juu yao.
""Mungu ibariki Afrika,wabariki viongozi wake,Hekima Umoja na Amani ""
Hivyo pengine kuwasumbua kwa sasa inaweza ikawa ndio upenyo wa kuvujisha taarifa kutakakopelekea kuvunijka Kwa Amani.
My take.
Tupuuze ili tuwasake kimya kimya.
 
Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi

Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.

Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?

Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.

Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.

- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Pitieni huu uzi
Ouattara was born on 1 January 1942,[2][3] in Dimbokro in French West Africa.[6] He is a descendant on his father's side of the Muslim rulers of Burkina Faso, then part of the Kong Empire—also known as the Wattara (Ouattarra) Empire. Ouattara is Muslim[7] and is a member of the Dyula people.[8] He received a Bachelor of Science degree in 1965 from the Drexel Institute of Technology (now Drexel University), in Philadelphia, Pennsylvania.[2] Ouattara then obtained both his master's degree in economics in 1967 and a Ph.D. in economics in 1972 from the University of Pennsylvania.[2]

Ouattara has two children, David Dramane Ouattara and Fanta Catherine Ouattara, from his first marriage to American Barbara Jean Davis. In 1991, Ouattara married Dominique Nouvian, a French Algerian-born Catholic businesswoman of maternal Jewish descent.[9] Their wedding was held in the town hall of the 16th arrondissement of Paris.

Kenneth Kaunda was born on 28 April 1924[4] at Lubwa Mission in Chinsali, then part of Northern Rhodesia, now Zambia,[5] and was the youngest of eight children.[6] His father, the Reverend David Kaunda, was an ordained Church of Scotland[7] missionary[8] and teacher, who had been born in Nyasaland (now Malawi) and had moved to Chinsali, to work at Lubwa Mission.[9] His mother was also a teacher and was the first African woman to teach in colonial Northern Rhodesia.[9] They were both teachers among the Bemba ethnic group which is located in northern Zambia.[9] His father died when Kenneth was a child.[7] This is where Kenneth Kaunda received his education until the early 1940s. He later on followed in his parents' footsteps and became a teacher;[7] first in Northern Rhodesia[7] but then in the middle of the 1940s he moved to Tanganyika Territory (now part of Tanzania). He also worked in Southern Rhodesia.[7] He attended Munali Training Centre in Lusaka between 1941 and 1943.[8][10] Early in his career, he read the writings of Mahatma Gandhi that he said: "went straight to my heart."[11]

Kaunda was a teacher at the Upper Primary School and Boarding Master at Lubwa and then Headmaster at Lubwa from 1943 to 1945.[8] For a time, he worked at the Salisbury and Bindura Mine.[8] In early 1948, he became a teacher in Mufulira for the United Missions to the Copperbelt (UMCB).[8] He was then assistant at an African Welfare Centre and Boarding Master of a Mine School in Mufulira. In this period, he was leading a Pathfinder Scout[12] Group and was Choirmaster at a Church of Central Africa congregation. He was also Vice-Secretary of the Nchanga Branch of Congress.[8


Chiluba Supreme Court ruling in 2000.

Some candidates in the 1996 presidential elections challenged his eligibility on these grounds, claiming that he or his real father was born in Zaire. However, he was raised in the Copperbelt of Zambia and this contributed to his taking up of unionism
 
SAMWELI MAHIRANE ni KAMISHNA wa UHAMIAJI anayeshughulikia UDHIBITI wa MIPAKA. Ni mzaliwa wa kijiji cha NYARUONGA, wilayani KIBONDO ambapo ni MPAKANI mwa BURUNDI. Mengine, nadhani MMEMSIKIA wenyewe CDF [emoji3][emoji3]
20240124_035829.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wahaya 10 watano Wana asili ya Rwanda hasa Karagwe...wamekuja Tz kwa kuolewa, kuhamia, kuoa wengine basi tu ni watutsi waliojikuta Tz na wanapiga kihaya ile mbaya...

NB. Zamani watutsi, wahaya, wanyankole,wahima nk walikuwa chini ya utawala maarufu sana ulioitwa Bunyoro-kitara ambayo uliangushwa baada ya Buganda kingdom kushirikiana na waingireza kuiangusha miaka ya 1800...
Hii mipaka tu imewekwa na wazungu ila wote ni ndugu kwa namna moja au nyingine

Bado wengi ikiwemo wahaya, wanyankole, wahima, wairu,wakiga,na watutsi wanaamini ipo siku Bunyoro-kitara kingdom itarudi kwenye glory yake..
Ndo maana ukikaa na muhaya vzr utagundua hawapo kiivyo Tz...watz wengi wanawaita wakabila na wabaguzi lakini huo ndo ukweli ipo siku Kagera na Bukoba itaungana na Rwanda na sehemu ya Uganda kuunda kingdom mpya..
Ndo maana Hadi Leo subchief ya kihaya Bado zinafanya kazi ikiwemo ile iliyotawala kyamutwara Bukoba ya sasa...ikulu yake Bado ipo...
Karagwe siku zote ilitawaliwa na wahima wakina king Rumanyika na ipo siku kingdom zitarudi...
Ndo maana watu wa Kagera hata kuuza ardhi wa watu Baki ni ngumu mno
Wanaweza kuwa wanaamini hivyo ,ila dunia hairudi nyuma ,inakwenda mbele ,njia rahisi ya kukamata power ni through violence na vita,sasa sijui kama wana mkakati wowote wa siri wa kujiimarisha kijeshi,
Na ustaarabu wa dunia unabadilika ,tawala za kijima haziwezi kurudi tena

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Musukuma ni mtusi...hakuna jina la ukoo la musukuma kwenye koo za kisukuma
Facial features za Musukuma hafanani na watutsi mkuu,labda ungesema muhutu (na hawa ni wabantu wenzetu hawanaga shida,maana nao najua wanampigia hesabu PK siku ajichanganye watwae madaraka) wenye shida ni hao wafugaji Watutsi

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom