Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
USA, kuna wa bongo, baada ya kustaafu katika mashirika ya UN, USA, wanaamia USA, na watoto wao, wakifika, mtoto kama chini ya 18,anajiunga na jeshi LA marekani, na maisha yanaendelea! Hapa bongo ukiwa na jina linalofanana na majina kutoka Rwanda, Uganda, Burundi, unatiliwa mashaka!
Kwenye uchaguzi wa chama cha wana sheria kuna wakili anaitwa Kaunda, hakuna kelele kwamba sio raia kwa vile anajina kama wa Zambia, lakini ange kuwa na jina kama ya Uganda, Burundi, Rwanda! Balaa lake!!!
 
Sasa umeandika nn rfk angu
 
nachojua mimi,mwenyeji wa nchi hii kialali kabisa ni wagogo peke yake!!!!,,,,ndo manake NDUGAI alikuwa na hasira kali dhidi ya deni la taifa kupaa!!!...ok,wangonii asli yao south africa, wahaya-uganda,waangaza-rwanda'wajaluo-nigeria,wamasai,wachaga na wameru-ethiopia,wasambaa,wadigo na wapare-kenya,,,,,wamakonde-msumbiji,,,,niishie tu hapo,,,,,,kama vipi wote turudi kwenye nchi zetu tumwachie NDUGAI awe rais na atawale wagogo wenzake{hii ni nchi ni ya wagogo bhana!!!!,tuache kujifanya wazalendo}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…