Pre GE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi

Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.

Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?

Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.

Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.

- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Pitieni huu uzi
wapemba na waunguja
 
Mbona wapo wengi tu mwigulu ni wa kwanza ndio maana alipendekeza tuende kwenye nchi yake burundi
 
Fuatilieni Kwa umakini Uraia wa Innocent L. Bashingwa MKAZI wa Bushangaro Nyakaiga Karagwe Mpakani kabisaa Na Rwanda mtakuja kunishukuru
Kwa style hio inabidi pia watu wa kilimanjaro, arusha,mara,mtwara na kwingine huko mipakani wafatiliwe wakiwa viongozi
 
Husen bashe ,msomali huyu amejipenyeza.kinyamera sna
 
Huu Uzi Ni wa zamini San sijui Kwann imeibuliwa Leo Tena au Kuna hbr gani
 
Wakuu Tatizo ni kubwa kiasi kwamba siyo rahisi kulitatua.
Kuna kundi la waamiaji ambao kisheria ni watanzania lakini wana asili ya nje;
Kuna kundi lla wahamiaji ambao kisheria siyo watanzania lakini wanapata haki zote za raia wa Tanzania;

Hawa wote wakishika nyanja za uchumi na kisiasa huwa wana athari zinazofana kwa nchi iliyovamiwa.

Hata hivyo katika baadhi ya nchi hasa zile zisizo na mwenyewe wahamiaji huwa hawana madhara. Nchi kama USA, Canada, Zanzi, Sierra Leone, Liberia na nchi za Caribbean huwa hazisumbuliwi na wahamiaji kwa sababu kiasili wenyeji katika nchi hizo ni minority na wamekubali kuwa chini ya wageni.

Lakini hali ni tofauti kwa nchi kama Tanzania ambayo composition ya watu wake wengi ni native ambao wana wivu ya utaifa wao na hawataki utaifa wao umezwe na wageni. Makelele yote yanayotokea yanatokana na watanzania wengi kuwa hisia kubwa za nationalism.

Madhara ya wageni ni kuwa wengi wao, priority yao ni nchi zao za asili, kamwe huwa hawasau walipotoka. Uiona host country kama sehemu ya kuchuma wakiwa na imani ya siku moja kurea kwao. Hali hiyo ufanya wasiwe na uzalendo hivyo kuwa wabinafsi sana kiasi cha kuweza kuwahujumu wenyeji au serikali bila huruma kila wanapopata fursa. Athari ya pili huwa wana uadui ya rohoni dhidi ya native, hivyo utumia fursa walizonazo kuwakandamiza native bila huruma huku wakiwapendelea watu wenye asili ya nje ya nchi. huwa wala rushwa na wahujumu wakubwa wa miradi ya maendeleo. Mbaya zaidi huwa wanaihujumu nchi inapotokea mazingira competitive na nchi zao za asili.

Mbaya zaidi wageni utengeneza networks kwa ajiri ya kusaidia na kupendeleana na kutafuta fursa za kujipenyeza kwenye nafasi za uongozi kisiasa na katika maamuzi.

Kwa sasa Tz ina tatizo kubwa ambalo msingi wake ni kuwa nyoka mwenye sura ya malaika yupo kilingeni na anawasidia nyoka wenzake kula kiini. zipo dalili miaka 10 ijayo natives watakuwa powerless kama ilivyo South. Mifumo inayopaswa kudhibiti tatizo husika ipo taabani, NIDAH, HUHamiajii, Ofisi ya Mwanaceria mkuo wamemezwa na tatizo ambapo wageni ndio madereva.

Mungu atusaidie tupate suluhisho ili tusimezwe zaidi.
 
dah!
 
Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.
LOOOOoooh. Hii mada ilikuwa imejificha wapi miezi yote hii?

Mada nyeti sana hii!

Tunajuwa tatizo linapo anzia. CCM ndiko kunakoanzia mambo hatari kama haya.
 
Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi

Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.

Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?

Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.

Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.

- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Pitieni huu uzi
Magufuli, Bashiru!
 
Back
Top Bottom