Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Kwani si waafrika wenzenu Hao???, huku hamweshi kusema tutawarudisha waarabu , mkuki kwa nguruwe tu ??inaonekana Wanyarwanda moo Wengi sana mwenye nchi yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani si waafrika wenzenu Hao???, huku hamweshi kusema tutawarudisha waarabu , mkuki kwa nguruwe tu ??inaonekana Wanyarwanda moo Wengi sana mwenye nchi yetu
wapemba na waungujaKwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za uteuzi kuzuia uteuzi wao yeye amekaa kimya Hadi leo ndio Kuja kumueleza Rais by suprise.
Mimi najiuliza hivi Rais leo atapata usingizi Kweli? Atakuwa anajiuliza ni Nani huyu nimemteua ambae Ni mkimbizi?
Lazima Rais atapitia mafail yake kwa upya mnk kwa taarifa ya leo wa kamanda wake CDF kusema wasiwasi kuwa unawateua hadi wakimbizi inamaana kwamba wasaidizi wake wanamuingiza Chaka.
Anyway Kama Kuna kiongozi au afsa tunamuhisi siyo mtanzania mwenzetu Basi tumtaje hapa hajui kuwa siyo mwenzetu.
- Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba
Pitieni huu uzi
Afadhali hujasema waislamu au waarabuwapemba na waunguja
Mwingine ni yupi mkuuTumechelewa ndugu wako wengi tuombe Mungu atulin
Tumechelewa ndugu wako wengi sijui kama tuko serious kwenye hili.
Mwenyekiti wa mkoa upi?WAPO WENYEVITI wa CCM pia
Ni mzaliwa wa wapi mkuuBonna Moses Kaluwa mbunge wa segerea, huyu sio m tz
Ukoo ukiwa mkubwa wanatokeaga,aliimba Bushoke.Oman hakuna mtu mweusi
Uzalendo ni wa kujaza Tumbo lako Huo ndio uzalendo wanaoujuwa CCMUzalendo upoo??!
Dotto Biteko.Fuatilieni Kwa umakini Uraia wa Innocent L. Bashingwa MKAZI wa Bushangaro Nyakaiga Karagwe Mpakani kabisaa Na Rwanda mtakuja kunishukuru
Burundi MkuuNi mzaliwa wa wapi mkuu
Kwa style hio inabidi pia watu wa kilimanjaro, arusha,mara,mtwara na kwingine huko mipakani wafatiliwe wakiwa viongoziFuatilieni Kwa umakini Uraia wa Innocent L. Bashingwa MKAZI wa Bushangaro Nyakaiga Karagwe Mpakani kabisaa Na Rwanda mtakuja kunishukuru
Na wasomaliDotto Biteko.
Dar es Salaam kafikaje mkuuBurundi Mkuu
dah!Wakuu Tatizo ni kubwa kiasi kwamba siyo rahisi kulitatua.
Kuna kundi la waamiaji ambao kisheria ni watanzania lakini wana asili ya nje;
Kuna kundi lla wahamiaji ambao kisheria siyo watanzania lakini wanapata haki zote za raia wa Tanzania;
Hawa wote wakishika nyanja za uchumi na kisiasa huwa wana athari zinazofana kwa nchi iliyovamiwa.
Hata hivyo katika baadhi ya nchi hasa zile zisizo na mwenyewe wahamiaji huwa hawana madhara. Nchi kama USA, Canada, Zanzi, Sierra Leone, Liberia na nchi za Caribbean huwa hazisumbuliwi na wahamiaji kwa sababu kiasili wenyeji katika nchi hizo ni minority na wamekubali kuwa chini ya wageni.
Lakini hali ni tofauti kwa nchi kama Tanzania ambayo composition ya watu wake wengi ni native ambao wana wivu ya utaifa wao na hawataki utaifa wao umezwe na wageni. Makelele yote yanayotokea yanatokana na watanzania wengi kuwa hisia kubwa za nationalism.
Madhara ya wageni ni kuwa wengi wao, priority yao ni nchi zao za asili, kamwe huwa hawasau walipotoka. Uiona host country kama sehemu ya kuchuma wakiwa na imani ya siku moja kurea kwao. Hali hiyo ufanya wasiwe na uzalendo hivyo kuwa wabinafsi sana kiasi cha kuweza kuwahujumu wenyeji au serikali bila huruma kila wanapopata fursa. Athari ya pili huwa wana uadui ya rohoni dhidi ya native, hivyo utumia fursa walizonazo kuwakandamiza native bila huruma huku wakiwapendelea watu wenye asili ya nje ya nchi. huwa wala rushwa na wahujumu wakubwa wa miradi ya maendeleo. Mbaya zaidi huwa wanaihujumu nchi inapotokea mazingira competitive na nchi zao za asili.
Mbaya zaidi wageni utengeneza networks kwa ajiri ya kusaidia na kupendeleana na kutafuta fursa za kujipenyeza kwenye nafasi za uongozi kisiasa na katika maamuzi.
Kwa sasa Tz ina tatizo kubwa ambalo msingi wake ni kuwa nyoka mwenye sura ya malaika yupo kilingeni na anawasidia nyoka wenzake kula kiini. zipo dalili miaka 10 ijayo natives watakuwa powerless kama ilivyo South. Mifumo inayopaswa kudhibiti tatizo husika ipo taabani, NIDAH, HUHamiajii, Ofisi ya Mwanaceria mkuo wamemezwa na tatizo ambapo wageni ndio madereva.
Mungu atusaidie tupate suluhisho ili tusimezwe zaidi.
LOOOOoooh. Hii mada ilikuwa imejificha wapi miezi yote hii?Chonde chonde kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, siyo kwamba hawa watu hawajulikani, wanafahamika vyema ila kwa sababu ya rushwa na mambo mengine, basi kunakuwa na ile hali ya kufumbia macho.
Magufuli, Bashiru!Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi