Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Shida itakuwa msimu wa mvua maana hata dish uwa channel zinakwamba na kupoteaWanasema latency ni nzuri hata kama inatumia satellite.Coverage yake ni Tanzania nzima na nchi jirani kwa sababu wanatumia Satellite ya Eutelsat kama Azam na DSTV.Nimeambatatisha baadhi ya vipeperushi vyao unaweza kupata taarifa zaidi.
Shida itakuwa msimu wa mvua maana hata dish uwa channel zinakwamba na kupotea
Hizo kamba tu mkuu hakuna Latency nzuri kwenye satelite. Musk mwenyewe anaetumia low orbit satelite ana struggle na ping sembuse hizo satelite za TV?Wanasema latency ni nzuri hata kama inatumia satellite.Coverage yake ni Tanzania nzima na nchi jirani kwa sababu wanatumia Satellite ya Eutelsat kama Azam na DSTV.Nimeambatatisha baadhi ya vipeperushi vyao unaweza kupata taarifa zaidi.
Moja ya faida ya Satelite mkuu ni coverage, hio Konnect kajifungie popote Tanzania inapatikana. Ni kama Unavyoona Azam ama dstv zipo Nchi nzima.Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara.
Pia naona unatakiwa kuwa na dish na mambo mengine mengi tu. Kwa aliyeitumia, inapatikana maeneo gani nchini? Ni nzuri na nafuu kama wanavyodai?
Moja ya faida ya Satelite mkuu ni coverage, hio Konnect kajifungie popote Tanzania inapatikana. Ni kama Unavyoona Azam ama dstv zipo Nchi nzima.
Assume hio 20mbps unaipata yote ni dakika 7 utatumia.Samahn mkuu je naweza download file la gb 1 kwa muda gan kupitia satellite internet
Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.
Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
Walikuwa na Offer ya free installation ukilipia mwaka mzima, sijui kama Bado ipoKit wamekwambia shingap maana badikia kit yso bei yake milion na upuuzi
Walikuwa na Offer ya free installation ukilipia mwaka mzima, sijui kama Bado ipo
Wasipofanya hivyo mkuu si wataingizwa mjini? Router, dish, receiver vina thamani kuliko 60,000 itakuwa mtu analipia mwezi akipewa Dishi anauza Azam, Router anauza TTCL anarudisha Hela yake na Faida juu.Duh kumbe kulipia mpka mwaka mzima [emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa na Offer ya free installation ukilipia mwaka mzima, sijui kama Bado ipo
Waulize hazihesabiwi kwa speed? Ama hazihesabiwi sababu mchana sio unlimited?Afu kuna issue wanasema kuanzia saa nne usiku hadi 12 asubuhi kwakupakua vitu vikubwa unaweza panga file zako kushusha maana data hazihesabiwi, sa sijajua ni yakweli hii kitu?
Na mimi niliona hilo. Kama wababaishaji hivi.Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.
Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
Hili na mimi lilinitatiza. Kama ni unlimited kuna haja gani ya kusema hivyo?Afu kuna issue wanasema kuanzia saa nne usiku hadi 12 asubuhi kwakupakua vitu vikubwa unaweza panga file zako kushusha maana data hazihesabiwi, sa sijajua ni yakweli hii kitu?
Wasije wakaja na lugha za kutuchanganya kumbe sio unlimitedHili na mimi lilinitatiza. Kama ni unlimited kuna haja gani ya kusema hivyo?