Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

Mkuu ebhu nishauri nataka kufunga Internet nyumbani...hawa konnect hawarespond kabisa tokea asbh sms znasomwa no replay
Ni wapuuzi hao, mi walipokea mara moja hawajawahi pokea tena
 
  • Thanks
Reactions: Lee
TTCL wana customer care mbovu sijui waajiriwa wote wanatokea ukoo mmoja kama una nyodo basi ni wote. Cha ajabu wafanyakazi hawajui offering ya kampuni yao, yani Chief Mkwawa anajua vitu vingi kuwahusu wao na mitisheti yao hawajui. Hii nchi ngumu sana
Tatizo ni kuwa mishahara yao ipo kampuni ipate au isipate faida hutasikia redundance.....

Watumishi wa serikali wote ndo walivyo
 
NBongo wafanyakazi wengi hawajui bidhaa za kampuni zao. Nenda hata NMB, CRDB, Voda nk nk ona wanavyobabaika na kuzunguka.
Hii ni fact mkuu, wafanyakazi wengi hawajua huduma zao unaweza mwambia kitu akabaki ametoa macho na sasa kama hajui anataka kukuongopea ukijarbu mwelewesha ndo shda
 
Kweli nisijeingizwa chakike
angalia comment no 22 uzi huu huu jibu limepatikana

Dah kiukwel hawana maajabu, TTCL kawaacha Tujisogeze karibu na miji tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.

Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
Wameshaanza kuharibu mapema kabisa.. Nilikuwa nimeshavutiwa naona tayari nshatiwa ndimu
 
Tatizo TTCL hadi uwalambe miguu
TTCL wamenisumbua miezi minne ila speed yao si mchezo
20220429_175308.jpg
 
Wekeni na Terms and Conditions,
Kutoka kampuni husika sio kuishia kusoma offer ya 60000 basi.
 
To get the service you should paid for :

  • The Konnect satellite kit including : Satellite dish + Transceiver, Satellite Internet modem and Coax Cable. The price at Dar es salaam, Mbezi is $651 = 1 500 000 tsh
  • The installation fees will be fix by your area reseller, be sure that it won't be more than 200 000 tsh.
  • And then you paid for your monthly plan related to your needs.

Find below our differents bundles :

All plans are unlimited with different Fair use policy according to the plan selected
-Konnect 20 - unlimited with 20/3 Mbps = 60,000 Tsh
(First step => beyond 10Gb data used, the speed will be 3Mbps
Second step =>beyond 15Gb data used, the speed will be 1Mbps)

-Konnect 30 - unlimited with 30/3 Mbps = 110,000 Tsh
(First step => beyond 30Gb data used, the speed will be 5Mbps
Second step =>beyond 45Gb data used, the speed will be 1Mbps)

-Konnect 50 - unlimited with 50/3 Mbps = 175,000 Tsh
(First step => beyond 60Gb data used, the speed will be 10Mbps
Second step =>beyond 90Gb data used, the speed will be 2Mbps)

-Konnect 75 - unlimited with 75/3 Mbps = 225,000 Tsh
(First step => beyond 100Gb data used, the speed will be 15Mbps
Second step =>beyond 150Gb data used, the speed will be 3Mbps)

-Konnect 100 - unlimited with 100/3 Mbps = 395,000 Tsh
(First step => beyond 200Gb data used, the speed will be 20Mbps
Second step =>beyond 300Gb data used, the speed will be 3Mbps)
Also we inform you that there is a promotion going on right now..
So for one month or more purchasing, you have one month plus free.
If you pay a certain number of months in advance you get a discount in the installation kit, the discount value is 345 000 tsh
So for 1 500 000 tsh - 345 000 tsh = 1 155 000 tsh

For exemple
For Konnect 20 you should paid 11 months to get the discount
For Konnect 30 you should paid 6 months to get the discount
For Konnect 50 you should paid 4 months to get the discount
For Konnect 75 you should paid 3 months to get the discount
For Konnect 100 you should paid 2 months to get the discount
 
Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.

Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
Upo wap na hiyo shida ad leo unaipata
 
Wekeni na Terms and Conditions,
Kutoka kampuni husika sio kuishia kusoma offer ya 60000 basi.
KONNECT📡 MTANDAO WA INTERNET📶 WENYE KASI ZAIDI🛩️ TANZANIA

KONNECT🛰️ ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet📡 kwenye Ofisi💼, Nyumbani🛖, Hospital🏥, Shule🎒, Vyuo🎓, Hardware 👷⛏️, Showroom 🛋️, Supermaket 🛍️ , Viwandani ⚙️, Garage🛠️, Stationary📌📎, Pharmacy 💊Hotels 🍽️ n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT? 🛰️🛰️
Tunajua umechoka kusubiri mtandao 📶 wako ili kuweza ku download ⤵️au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite 🛰️ wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao 📶 yani INTERNET📡 kwa miaka 40 Kupitia, satelite 🛰️yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite 🛰️ ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena 📡 yako kwenda kwenye satelite 🛰️ zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet📶 yenye speed 🛩️ kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa ⛈️🌦️

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed 🛩️ hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania 🇹🇿 kwa kutumia huduma zetu leo🛰️
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100

Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasi📞Kwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 📱0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.
 
Wapuuzi hawapokei simu.
Ukiwapigia wanasema wanakuunganisha na mtoa huduma wa eneo lako, ila hupigiwi simu kabisa

PIGA HIYO NAMBA APO MKUU UTAPATA HUDUMA
 
Naweza kukupa mawasiliano ya MD wao kama utakuwa hujafanikiwa bado. Utapata ufumbuzi haraka

PIGA HIYO NAMBA APO BOSS UTAPATA HUDUMA NA UTAUNGANISHEA KWA MKOA ULIOPO CHAP
 
Nimeona jamaa hawa wanatangaza internet yao ya satellite kwa 60k kwa mwezi. Huko nyuma nomewahi sikia kwamba internet ya satelilite huwa slow sana ukifananisha na ya cable/minara.

Pia naona unatakiwa kuwa na dish na mambo mengine mengi tu. Kwa aliyeitumia, inapatikana maeneo gani nchini? Ni nzuri na nafuu kama wanavyodai?
KONNECT📡 MTANDAO WA INTERNET📶 WENYE KASI ZAIDI🛩️ TANZANIA

KONNECT🛰️ ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet📡 kwenye Ofisi💼, Nyumbani🛖, Hospital🏥, Shule🎒, Vyuo🎓, Hardware 👷⛏️, Showroom 🛋️, Supermaket 🛍️ , Viwandani ⚙️, Garage🛠️, Stationary📌📎, Pharmacy 💊Hotels 🍽️ n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT? 🛰️🛰️
Tunajua umechoka kusubiri mtandao 📶 wako ili kuweza ku download ⤵️au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite 🛰️ wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao 📶 yani INTERNET📡 kwa miaka 40 Kupitia, satelite 🛰️yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite 🛰️ ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena 📡 yako kwenda kwenye satelite 🛰️ zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet📶 yenye speed 🛩️ kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa ⛈️🌦️

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed 🛩️ hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania 🇹🇿 kwa kutumia huduma zetu leo🛰️
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100

Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasi📞Kwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 📱0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.
 
Duh kumbe kulipia mpka mwaka mzima [emoji23][emoji23][emoji23]
Apana boss kulipia siyo lazima mwaka mzima yan iko iv mteja ili kumuondolea usumbuf wakulioa mara kwa mara wakayoa ofa mf. Kulipa konnect 20 mwez unalipa kwa sh elf60 sasa ikitokea mteja anataka kudable miez ya malipo tunampa offer yakulipa miez 11 kwa laki mbil tu ko anapata huduma kwa miez kumi na moja bila kulipia ukitaka maelez zaid pia 0763038490 watakueleza utaenjoy
 
Haja ya kusema hivyo ni kwasababu ya kukupa offer ya kukuondoa kwenye matumiz ya juu ya bando lako mf. Mtu anae anza na mbps 20 kam starting soeed akianza kuperuzi kusnzia 0kb to 10gb spd ina redus kutoka 20mbps to 3mbps sasa ili ufanye matumiz mabaya ndo wanakupa hyo offer ya saa 4 usiku to saa 12
 
Back
Top Bottom