HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Wapuuzi hawapokei simu.Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.
Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
Ukiwapigia wanasema wanakuunganisha na mtoa huduma wa eneo lako, ila hupigiwi simu kabisa