Wapuuzi hawapokei simu.Hii itatufaa sana sisi ambao hatujafikiwa na Fiber na tunauhitaji wa hili. inabidi wawe Serious na kutoa huduma na isiwe wanafanya matangazo na utoaji wa Huduma ni ZERO.
Nimeingia kwenye page yao comments nyingi wanalalamikia Huduma, Simu hazipokelewi, Fomu hazijarudishwa majibu nk.
Hawana issue mkuu, TTCL 4mbps ina value kushinda hio. Unless upo ndani ndani sana.View attachment 2202032
Cc. [mention]Chief-Mkwawa [/mention] [mention]Nafaka [/mention] [mention]Lycaon pictus [/mention]& [mention]Root [/mention]
Tatizo TTCL hadi uwalambe miguuHawana issue mkuu, TTCL 4mbps ina value kushinda hio. Unless upo ndani ndani sana.
Mkuu ebhu nishauri nataka kufunga Internet nyumbani...hawa konnect hawarespond kabisa tokea asbh sms znasomwa no replayHawana issue mkuu, TTCL 4mbps ina value kushinda hio. Unless upo ndani ndani sana.
Niko kwenye mchakato wa kupata hii ya TTCL nataka nijue kwa uzoefu wako hiyo speed ya 4mbps iko real au magumashiHawana issue mkuu, TTCL 4mbps ina value kushinda hio. Unless upo ndani ndani sana.
TTCL wana customer care mbovu sijui waajiriwa wote wanatokea ukoo mmoja kama una nyodo basi ni wote. Cha ajabu wafanyakazi hawajui offering ya kampuni yao, yani Chief Mkwawa anajua vitu vingi kuwahusu wao na mitisheti yao hawajui. Hii nchi ngumu sanaNiko kwenye mchakato wa kupata hii ya TTCL nataka nijue kwa uzoefu wako hiyo speed ya 4mbps iko real au magumashi
Nishaenda ofisi zao wamenijazisha fomu halafu wameniambia wanakuja kufanya survey.
Lakini nimejaza kifurushi cha 4mbps ili nione kama kasi itanifurahisha maana nimeambiwa nina nafasi moja ya kubadili aina ya kifurushi so nikaona bora nianzie hiki cha chini ili hata baadaye nikiona fresh nipande dau.
🤣🤣🤣🤣TTCL wana customer care mbovu sijui waajiriwa wote wanatokea ukoo mmoja kama una nyodo basi ni wote. Cha ajabu wafanyakazi hawajui offering ya kampuni yao, yani Chief Mkwawa anajua vitu vingi kuwahusu wao na mitisheti yao hawajui. Hii nchi ngumu sana
Ni kweli unachokisema yani nimefika ofisini kwao wananilazimisha nijaze form ya kampuni wakati kipengele cha personal kipoTTCL wana customer care mbovu sijui waajiriwa wote wanatokea ukoo mmoja kama una nyodo basi ni wote. Cha ajabu wafanyakazi hawajui offering ya kampuni yao, yani Chief Mkwawa anajua vitu vingi kuwahusu wao na mitisheti yao hawajui. Hii nchi ngumu sana
Ttcl ipi mkuu ?Ni kweli unachokisema yani nimefika ofisini kwao wananilazimisha nijaze form ya kampuni wakati kipengele cha personal kipo
Nikawaambia kampuni mi sina mi ni mtu tu kama wewe sasa unanilazimishaje nijaze form ya kampuni na wakati hata Tin number sina
Nikaona tunabishana ikabidi nimuoneshe maelezo ambayo yapo kwenye website yao ikabidi hapo ndio akubali
CopperTtcl ipi mkuu ?
Sorry namanisha branch ipi mkuuCopper
SokotaSorry namanisha branch ipi mkuu
Hii karibia na quality centre?Sokota
Hapana ni huku barabara ya mandela kama unatokea ubungo unaelekea taifa, wacheki kupitia namba yao ya msaada watakuambia kituo cha karibu na weweHii karibia na quality centre?
Ndo najiuliza sokota ipi..baada ya tazara si ndo sokota mkuu kama unaenda taifaHapana ni huku barabara ya mandela kama unatokea ubungo unaelekea taifa, wacheki kupitia namba yao ya msaada watakuambia kituo cha karibu na wewe
Yap ndio hiyo hiyo, sasa ulivyosema Quality center ulinichanganya maana navyojua hiyo quality senta ipo nyerere road mtavaNdo najiuliza sokota ipi..baada ya tazara si ndo sokota mkuu kama unaenda taifa
Nilijua labda mkuu umemanisha hiyo...sokota ni nzuri sana make niko karibu na hayo maeneoYap ndio hiyo hiyo, sasa ulivyosema Quality center ulinichanganya maana navyojua hiyo quality senta ipo nyerere road mtava