Hawa wanaitwa Konnect wanatoa internet ya satellite wakoje hasa?

Wakuu, nauza Huawei Switch

Model: S5720-52P-PWR-LI-AC
Ports: 48ports 10/100/1000 base T ports, 4 Gig SFP ports
Fowarding perfomance: 87 Mpps/ 144 Mpps
PoE support: PoE+
Switch capacity: 336 Gbit/s
Power: AC power supply supporting RPS

AddOns:
Managable
Supports both GUI and CLI
Layer 3 switch

Njoo na 2,200,000 tu.

NOTE: Maongezi kidogo yapo.
 
Mbona kuna mtu ananiambia unapata 20GB ukizitumia hizo 20GB zikiisha speed inakuwa slow?
Naomba kujua hiyo speed kama 100MBps unaipata constant mwezi mzima au huko mbeleni speed inapungua?
Na bei ya dish sh. ngapi?
 
Ndyo speed inapungua kutokana na unavyi tumia boss mf.konnect 20 ambayo starting speed n mbps 20 ila mteja ukitumia kuanzia 0kb had gb 10 mbps znapungua kutoka speed 20mbos had 3mbps ambapo bado ni kubwa lakin kuanzia saa nne usiku ad saa 12 asu uh unatumia kwa speed ile ile ya 20mbps tena free line na ukitaka kifurush ambacho akishuki mbps iko tunakiita priority yan unatembea na mbps zile zile ata ukitumia gb 1000 kwa mwezi mf. Wa kifurush ambacho ni priority 10mbps unatembea na speed ile ile ata ukitumia gb 1000 kwa sku aupew limit yoyt hiko gharama yake ni 460000/= kwa mwezi
 
Mbona kuna mtu ananiambia unapata 20GB ukizitumia hizo 20GB zikiisha speed inakuwa slow?
Naomba kujua hiyo speed kama 100MBps unaipata constant mwezi mzima au huko mbeleni speed inapungua?
Na bei ya dish sh. ngapi?
Na gharama ya ku instal iyo system inatofautiana kidogo kutokana na beam ww upo wap mkuu nkupe bei vzur
 
Hakuna kitu, ukisoma terms zao wamekaa ki mbinu mbinu sana
 
Nilikuwa natamani kujua kama wamekupunguzia uko kwenye mb 1 /sec saa NNE inarudi 20 au inabaki hiyo hiyo moja
 
Je Kwa hiyo mb 1/sec unaeza stream 720 Kwa mtu mmoja Kwa aliyetumia ??
 
Hawa ukifunga dar es salaam ni 1620000/= ila mkoani ni 345000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…