Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Padri mcharo ana Id kadhaa hapa jf...

2015 alijisajili kwa ID ya
Chief Engineer akabadilisha mwanzoni 2017 kua Padri mchoro..

In rality Taaluma yake huyu jamaa ni Engeneer sijui anafanyaje kazi aisee..
LAKINI Ana ID moja anaitumia maramoja moja na ndio aliitumia kumsifia ontari..
Inaitwa CCNP Engeneer.
Mi hakuna mtu ananichekeshaga humu JF kama Padri Mcharo

Yaani yule jamaa ni noma[emoji23]
 
Hyo ya CCNP kidogo ana comment kiakil
Na yule conor hii ya sahv kidogo ana akil timamu
 
Padri mcharo na List ni habari nyingine...

Mi nikitaga kucheka namsaka padri mcharo watu weuweeee yaani mambo ni[emoji117] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Ila asili haachi ujasili hahaa..
Mwandiko mmoja, Ccnp hua anatukana pia ukibisha nakutg sehem, wote wanabet, Barca fans..
Hyo ya CCNP kidogo ana comment kiakil
Na yule conor hii ya sahv kidogo ana akil timamu
 
Kipindi kile anatumia Id ya chief eng ndio alikua anachekesha kweli. Ula mm the best kwangu napenda wawe wanatukana muda wote ni GuDume, connor, Thr List, Alonso14, Padri mcharo mcharuko.


Hua alonso14 na mcharo wanatukanana kule kwenye uzi wa Barcelona maana wote ne fans wa barca..
Utacheka ufe
Padri mcharo na List ni habari nyingine...

Mi nikitaga kucheka namsaka padri mcharo watu weuweeee[emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Mmmh ila huyo rubbish, idiot ni kiboko kila uzi ye atasema rubbish nawaonea huruma san vijana hahaa
Hahahahaahhaaaaaa huyo jamaa ananikumbusha kipindi niko secondary mwalimu mkuu alikuwa akipenda sana kusema idiot
 
Natamani wakutane wote kwenye uzi mmoja wabishan...embu nitag apo walipo wote mana itakua ni[emoji91] [emoji91]
 
CCNP Engineer ni padri mcharo? Ndo alikuja kuomba mkopo wa 5m JF?

Haaa haaa....afuu kule kwenye Uzi uliofungwa sijamuona kabisa
 
Huyo The List ndio Connor.

Huyo Alonso 14 habari nyingine acha kabisa.
 
Ndio mtu mmoja huyo **** uzi wa betting kanasema laki mbili ni hela ya mboga so kanazipeleka mkeka bet
CCNP Engineer ni padri mcharo? Ndo alikuja kuomba mkopo wa 5m JF?

Haaa haaa....afuu kule kwenye Uzi uliofungwa sijamuona kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…