mm ww sileti id ninaleta Profile yako yote. Jina, namba ya sim, picha ya baba ako, unapoishi bisha tuoneMimi nina IDs tatu hebu kajaribu kuzileta?
sio hyo ni zile post za Kwenye uzi wa ONTARIOKama ni hyo bas na mm naweza pata si tunaigilizia jamn wanavyotukana
Utakula ban wew...leta tu lkn tuon alafu hayo maujanja nifundishe na mmmm ww sileti id ninaleta Profile yako yote. Jina, namba ya sim, picha ya baba ako, unapoishi bisha tuone
Nilijua utabisha maana nilikua nimejitoa muhanga kula ban ajili yakoHahahah umetisha mkuu
Unataka umpeleleze Saint ivugaUtakula ban wew...leta tu lkn tuon alafu hayo maujanja nifundishe na mm
Apo sawasio hyo ni zile post za Kwenye uzi wa ONTARIO
Kile kizee nakijua sina haja ya kumpeleleza...wengine tuUnataka umpeleleze Saint ivuga
Khaaaa[emoji15]Nilijua utabisha maana nilikua nimejitoa muhanga kula ban ajili yako
Hii ni siri ya nchi bana siwez itoa, ila ivuga muhenga kweliKile kizee nakijua sina haja ya kumpeleleza...wengine tu
mbona una guna..?Khaaaa[emoji15]
Ndio yule muhenga naye ana id kama 10hiviii....nipe bhana hyo siriiiHii ni siri ya nchi bana siwez itoa, ila ivuga muhenga kweli
hapana bwana nisameheNdio yule muhenga naye ana id kama 10hiviii....nipe bhana hyo siriii
haha sikujua nikajisemea moyoni uyu Dada mzima kweli.ila baada ya kupita kwenye huu Uzi basi nikawasoma watu nikaelewa hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ndio zake ngoja akuje na huku
Huyu injinia yupo active almost ktk kila nyuzi ya forex. Alinipa kuilewa forex ya TMT kiasi fulani. Uzoefu wangu ni ktk nyuzi kama zile soma post , reply na LIKES. Niligundua wanaoitetea forex kwa post na reply wanaiponda kwa LIKES and viceversa is also true.CCNP Engineer ni padri mcharo? Ndo alikuja kuomba mkopo wa 5m JF?
Haaa haaa....afuu kule kwenye Uzi uliofungwa sijamuona kabisa
Kumbe wanahitajika mavichwa box..... sikujua hiloMkuu kuna mtu alisema nikuweke ila mimi niakataa maana wewe ni mstaraabu japo kichwa chako ni kichafu