Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkHuyo si hajamuweka kwasababu ashatajwa juu..Alitaka hao nao waongezwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Id fake hizi acha tu watu wanajiona malaika kumbe mwajuma tu
Sio name calling kweliBundi katua humu naona witi kala ban
Na umepigwa ban kweli. Polee shoga anguHahaaa haaa...na kweli
Kuna boya namuona ananitafutia ban humu
KafanyajeNa umepigwa ban kweli. Polee shoga angu
SijuiiiKafanyaje
Davinci acha umbea mkuu huko ni kuvuana nguo
Huyu bwana mdogo amenikosea heshima sana. Kuniweka kundi moja na watu hopeless.
Nimeacha kabisa matusi mkuuUache matusi sasa kila siku kua bam hujisikii bibaya..?
Na wewe nitaje ya kwako ile nyingine ya matusiNoo
Alonso id zake ni hzi..
-Mme wenu
-Sergio 5
-Yeth loth
ID nne per one person.
The List zamani alijiita CALLICURAM
Id zake ni hz
-Connor
-Connor 1
Mmh kweli nyani haoni kunduleUache matusi sasa kila siku kua bam hujisikii bibaya..?
Nimeona
Sasa me nahusikaje hapo katika hiyo list mkuuShunie sijamuona hapo
Kwahiyo the list sio hrHr 666
Id zake kama..
Yeezus
Yeeezus2
Yeezy 666
Zote hizo zipo ban now anatumia...
Masonic666
Delilah mshawishi akurajieNa wewe nitaje ya kwako ile nyingine ya matusi
Nimeacha kabisa matusi mkuu
Mbona inajulikana sema tu kabadili I'd zake majina mengineDelilah mshawishi akurajie