Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Basi nilipitiwa ila sipend kutukana.
Mfano. Ukienda jukwaa la picha kwenye uzi wa Kutupia picha ya demu yoyote mkali kana jamaa anatukana watu eti tunawaaibisha walle wadada kuwapost mtu kama huyo ndio hua simuachi..
Umesahau kwenye uzi wa forex na I'd yako ya tela vista walivyoyakoga matusi
 
Basi nilipitiwa ila sipend kutukana.
Mfano. Ukienda jukwaa la picha kwenye uzi wa Kutupia picha ya demu yoyote mkali kana jamaa anatukana watu eti tunawaaibisha walle wadada kuwapost mtu kama huyo ndio hua simuachi..
Mondray ahahha nimecheka sana wewe hupendi kutukana akiii labda kwa asiokujua
 
Back
Top Bottom