Inashangaza sana hili kundi la CCM ina wenyewe wao kazi yao tu ni kupigaga madili tu kuanzia Epa, Escrow Kagoda na wizi wa mali za CCM
Kumbe Kagasheki ndio alihusika na kuingia dili ili eneo la Loliondo lipunguzwe kwa manufaa ya mwarabu.
👇🏿 Mwananchi › kitaifa
CCM wamgeuka Waziri Kagasheki Loliondo - Mwananchi