Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?​

Wanahitajika:-
  • Wachoma mahindi nafasi 2000​
  • Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000​
  • Watembeza mayai mchemsho nafasi 500​
  • Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000​
  • Watembeza barafu nafasi 500​
  • Watembeza mboga mboga nafasi 500​
 
Kwahiyo unataka mtu mwenye degree yake ya engineering au udaktari au uticha wa mathe aende akatembeze mayai😂😂😂😂
 
8E87F328-109B-4655-A80E-BE9FA8D62F2E.jpeg
 
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?​

Wanahitajika:-
  • Wachoma mahindi nafasi 2000​
  • Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000​
  • Watembeza mayai mchemsho nafasi 500​
  • Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000​
  • Watembeza barafu nafasi 500​
  • Watembeza mboga mboga nafasi 500​
Hizo kazi tunawezq kuzifanya bila hizo ajira(kujiajoric tunaweza) ila sijasomea udactari wa mahindi broo emu acha masihara
 
Acha tu tuonekane tunachagua kazi mkuu, ila siwezi kupambana na sapuuu miaka minne then baada ya hapo nibebe birika ya gahawa na kibeseni cha kashata nianze kuzunguka mjini kati, huku nikiwa naita iyoooo kahawa kashataaaa iyooooo🤣🤣🤣🤣
Kumbuka, njaa haina adabu, na kazi ni kipimo cha utu
 
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?​

Wanahitajika:-
  • Wachoma mahindi nafasi 2000​
  • Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000​
  • Watembeza mayai mchemsho nafasi 500​
  • Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000​
  • Watembeza barafu nafasi 500​
  • Watembeza mboga mboga nafasi 500​
Kama mtu anaenda kusoma aje kutembeza mahindi na kahawa, bora mzazi ungempa hiyo fee aanze mapema baada ya kumaliza form 4 au six tena kwa karo hiyo angeanza kwa kishindo na kijiwe cha maana.
 
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?​

Wanahitajika:-
  • Wachoma mahindi nafasi 2000​
  • Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000​
  • Watembeza mayai mchemsho nafasi 500​
  • Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000​
  • Watembeza barafu nafasi 500​
  • Watembeza mboga mboga nafasi 500​
Hizo sio ajira mkuu. Hivyo ni vibarua
 
Hizo kazi tunawezq kuzifanya bila hizo ajira(kujiajoric tunaweza) ila sijasomea udactari wa mahindi broo emu acha masihara
Kama una leseni, tengeneza soko lako kwa kuwatembelea wahitaji wa huduma
 
Back
Top Bottom