Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?​

Wanahitajika:-
  • Wachoma mahindi nafasi 2000​
  • Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000​
  • Watembeza mayai mchemsho nafasi 500​
  • Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000​
  • Watembeza barafu nafasi 500​
  • Watembeza mboga mboga nafasi 500​
Je mtoto wako aliyehitimu Elimu ya Juu Kwa miaka 5 unapendekeza ipi Kati ya hizo?
 
Acha tu tuonekane tunachagua kazi mkuu, ila siwezi kupambana na sapuuu miaka minne then baada ya hapo nibebe birika ya gahawa na kibeseni cha kashata nianze kuzunguka mjini kati, huku nikiwa naita iyoooo kahawa kashataaaa iyooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom