Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

Hiyo shortcut wazazi walikuwa wana fedha mkuu. Kama familia inajiweza kuna shortcut nyingi maishani.
Ulishawahi kusikia wale wahudumu wa sgr kazi zao zinatangazwa?
Uko sahihi
 
Ni nacho mkuu Sema ni kidogo Ila kinatosha kwa mimi kuanzisha family
Usianzishe familia mapema, kujitwisha majukumu mapema ni kupoteza kisalio kidogo ulichonacho.
Fika miaka 35+ angalau ukiwa na mwanga tayari ndio uingie kwenye majukumu ya kumfuga binadamu mwenzako.​
 
Jamaa alikua na a.k.a nyingi sana, hivi ile a.k.a ya KAFAYA ilitokana na nini, au ina maana gani?

First time hili jina nililisikia kwa dingi ake mshkaji wangu fulani.

Huyo dingi alitumbuliwaga na magu kipindi cha nyuma.

Sasa mwanae akamwambia Magufuli amefariki.

Mzee akawa haamini, akawa anauliza kwa msisitizo "KAFAYA AMEKUFA? aliuliza zaidi ya mara tatu. Niliposikia hilo jina nilitamani sana kucheka ila ndo hivyo tena muda wa huzuni.
 
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?​

Wanahitajika:-
  • Wachoma mahindi nafasi 2000​
  • Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000​
  • Watembeza mayai mchemsho nafasi 500​
  • Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000​
  • Watembeza barafu nafasi 500​
  • Watembeza mboga mboga nafasi 500​
Shida syo KAZI ni gharama y elimu uliyo ipata ukatumie sehemu ambayo kurudsha gharama itachukua alot of year
 
Usianzishe familia mapema, kujitwisha majukumu mapema ni kupoteza kisalio kidogo ulichonacho.
Fika miaka 35+ angalau ukiwa na mwanga tayari ndio uingie kwenye majukumu ya kumfuga binadamu mwenzako.​
Ninaishi na singo maza mmoja
 
Shida syo KAZI ni gharama y elimu uliyo ipata ukatumie sehemu ambayo kurudsha gharama itachukua alot of year
Kosa ni kurudia kosa, songa mbele, fanya kinachowezekana kukuingizia kipato.
 
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?​

Wanahitajika:-
  • Wachoma mahindi nafasi 2000​
  • Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000​
  • Watembeza mayai mchemsho nafasi 500​
  • Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000​
  • Watembeza barafu nafasi 500​
  • Watembeza mboga mboga nafasi 500​
Hizo ajira au usenge kuna mwingine kaandika ajira ya kuokota taka sio kuzoa taka kuokota taka nafasi 5000 mshahara 250,000/=
 
Back
Top Bottom