B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Mkuu ajira hamna kabisa. Mwenyew unaona za wachoma Chipsi na mishkaki hazipoKuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000 Watembeza kahawa maeneo ya stendi nafasi 1000 Watembeza mayai mchemsho nafasi 500 Watembeza karanga zakukaangwa nafasi 1000 Watembeza barafu nafasi 500 Watembeza mboga mboga nafasi 500