Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
Daah 😂😂😂, tutakua tumeizalilisha sana elimu yetu... Imagine medical doctor wa Muhimbili pale anaingia zake street anatembeza mayai, iyooo mayaiiiii mayaiiiii iyooooo, huku anapiga yale mabusu ya kuitia wateja 🤣🤣🤣Kumbuka, njaa haina adabu, na kazi ni kipimo cha utu