Hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?

Hizo ajira au usenge kuna mwingine kaandika ajira ya kuokota taka sio kuzoa taka kuokota taka nafasi 5000 mshahara 250,000/=
Piga kazi, ndio kazi zilizobakia, ukichelewa nafasi unakosa
 
Najua wata chukulia dharau, ila ukiwa na vijana ishu ya mayai, vitumbua Ina hela Sana.

Namjua mdada ana vijana Kama 4, ana pika vitumbua vya 200,300 ka point maeneo ya ofisi.

aisee ana uza zaidi ya vitumbua 300+ per day
 
Kuna vitu vingi vidogo vidogo, mtu akiamua kujilipua mwanga utaonekana.
 
Inaumiza zaidi watoto wa kike ndio wanaoteseka zaiiiidi km ulikua haujui kuliko wa kiume, wa kiume ni km yatima tu na yatima hadeki
Zile kazi zilizokuwa zikiaminika ni za kiume, kwa sasa zikifanywa na mwanamke ni rahisi sana kwake kufanikiwa
 
Mpaka mwakani kutakua na idadi kubwa sana ya mabinti wanaouza uchi, mark my words hawa wa 2000 mpaka 40+ biashara yao ndio itakua hio
 
Kwa sababu 'nature' ipo pale pale katika kubalansi maisha, wapo wanaokufa, wanaostaafu n.k
Muhimu, mtu ajipange namna ya kupata mkate wake kwa siku.
 
Sio poa ninayoyaona na yanayoenda kutokea km hali itakua hivi hivi kutalipuka bomu
 
Aiza``Tumeazimia''
kila mwanainchi,
`APEWE VYOMBO'' kwa `MKOPO''
atembeze ajipatie `NGUNA'' lake la kila siku kwa kujiajiri, kwani FUR$A'' za `AJIRA'' ni nyingi mjini DANJANIA...!
alisikika `MUHESHI.MU.WA'' mmoja aliyekuwa `MGENI RA$IMI'' katika Uzinduzi huo.
 
Watoto wa kike wa masikini wanajiuza tu huku wao watoto wao wa kike wanaenda kuwasomesha shule nzuri wanawapa mitaji ya nguvu, hapo sijawagusa watoto wa kiume ambao ndio wameachwa km Yatima hawana wa kuwasemea Jeska Msamatavangu siku ile alipokua anapaza sauti Bungeni wengi walimuona km fala fulani vile ila alikua na point
 
Back
Top Bottom