Hawa wanaume hatujawajulia tu

Hawa wanaume hatujawajulia tu

Unajaribu kutatua tatizo ambalo halipo, au kama lipo basi ni kwa kiwango kidogo. Mwanamke ukishakuwa umewekwa ndani ya nyumba ya mwanaume mnalala kitanda kimoja nguvu ya kukataa mwanaume asikutafune saa yoyote unaitoa wapi?

Tatizo kubwa lililopo ni kupoteza ladha. Yaani wanaume tunapendaga kufunua mali mpya. Ya zamani sawa tutaitafuna lakini tukiona mpya mizuka inapanda zaidi ila na yenyewe tukishaitafuna inageuka inakuwa ya kawaida.

Sasa hilo sio tatizo kwetu wanaume, ila ni tatizo kwenu wanawake maana huwa hampendi wenzenu wengine ambao bado hatujawala tukiwatafuna.
🙏🙏🙏🙏
 
Bado kulialia,hivi unanipenda kweli😭😭😭 kwanini utanguliza sana ngono🤣🙌 utafikiri kaliolewa kulalalala🙄
Vijana wa leo wana kazi

Mdada anafikiri kaolewa kuja kupamba nyumba kama maua ya ndizi

Angejua ingekuwa pambo watu wako tayari kuchonga vinyago vya dodoma.


Kaolewa kwa kazi mbili tuu
1. Ngono
2. Kuzaa japo hili ni majaliwa
 
Vijana wa leo wana kazi

Mdada anafikiri kaolewa kuja kupamba nyumba kama maua ya ndizi

Angejua ingekuwa pambo watu wako tayari kuchonga vinyago vya dodoma.


Kaolewa kwa kazi mbili tuu
1. Ngono
2. Kuzaa japo hili ni majaliwa
Basss....mengine swagz tu
 
Mnhh!!! Hii imekaaje mkuu
Kuna wanaume wanapitia vipindi vigumu saana

Ndani kuna chupi nzuri nzuri anaziona madazeni kwa madazeni lakini hajawahi iona imevaliwa anaziona zikiwa zimefuliwa

Note.
Enzi zetu hakukuwa na raha kama kumvua mkeo chupi hafu ukakita ni kazuri.
Kwa hasira unakararua rarua aseee


Siku hizi nyumbani ndio utakuta kavaa vile vilivyofubas na kutoboka kati kati

Kulikuwa na katabia mkeo akitaka kukuita basi mkiwa wawili atafanya kilawezalo akae vibaya ukaone ka chupi kake
 
Back
Top Bottom