Hawa wanaume hatujawajulia tu

Pole, ajali kazini.
 
Hata akiwa wako atatoka tu njee..hawaridhiki ht uwape 10 time a day..still watataka radha mpyaa


.
Kwa umri wangu, sijawahi kuona ladha mpya. Sana sana karaha mpya.

Maandalizi kabla ya game huleta ladha mpya kwa kila tendo.

Mama kila siku anasema leo tamu.
 
Usiuchoshe mwili wako na nyeti zako!!!….Nothing will make a man stay unless he wants to stay📌
Asante,but hata Ivo nyeti zangu zipo Kwa ajili ya kutumika juu yake,akitaka kwenda aende,ulimwengu wa kumganda mtu sio huu tena...ukitaka kusepa sepa unakuwa hukuwa chaguo langu.so,nitazitumia nitakavyo ilimradi nami ndicho nitakacho mkuu 😜
 
😂Tunajijua uongo mkuu?!
Hata Ivo wanaume hamfanani kazini,ndo maana wengine mnakimbilia kupakuliwa kama women.Kuna mtu anatolewa bikra na kuachwa,Kuna mwanaume anakilakitu na Bado anachitiwa.😜 Kaz bro🤸 nazungumzia Kaz🥵
 
Asante,but hata Ivo nyeti zangu zipo Kwa ajili ya kutumika juu yake,akitaka kwenda aende,ulimwengu wa kumganda mtu sio huu tena...ukitaka kusepa sepa unakuwa hukuwa chaguo langu.so,nitazitumia nitakavyo ilimradi nami ndicho nitakacho mkuu 😜
Sawa endelea kukitembeza!
 
Mwanamke akishakuwa hivyo sichepuki hata kidogo tena nikitoka kazini fasta nawai nyumbani nisije kumkera bure kwa kuchelewa kurudi mapema.
 
Mmmmh...... Jiandae kwa Dm nyingi...
Ila asanteee kwa somooo
 
Ungeanza Kwa ku-declara interest kwanza,

Tupatie marital status yako kwanza (married, single, divorced etc).

Je umeolewa?

Kwamba wewe ni mke wa ndoa ya mono /polygamy ?

Je ndoa ndoa ulokuwepo ni ya muda gani ?

Ili twende sawa maana tusijekuta tunajadiliana na mtu ambae ni irrelevant na ambae yuko kinadharia zaidi.
 
Ukweli ni kwamba hata wanandoa ambao huzani wenza wao hawachepuki ni sababu they are not well informed kwa wakati huo.

Kuna wengine huwa wanakuja kutambua mume wake alikuwa na michepuko ya kudumu kwenye msiba wa mume [emoji24][emoji24]

God forbid!

Yani naona hata kulia mke itabidi machozi yakate paaps [emoji28][emoji3]

Kwanini ulie kwa mtu ambae unakuja kujua alikuwa na familia ya mke na mtoto au watoto for years?

Kwamba mmeishi sambamba ukipiga hesabu miaka ya ndoa mloishi na umri wa mtoto mkubwa [emoji28][emoji1787]

Unpopular truth is painful!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…