Hawa wanaume hatujawajulia tu

Hawa wanaume hatujawajulia tu

Unatudanganya hiyo popote wakati wowote siyo salama!

Mimi nina kovu la pasi bega la kulia panapounganika na mgongo nililipata way back 2006 haya mambo ya wakati wowote popote ilinikuta nanyoosha nguo kitandani demu wangu khanga ikamdondoka ktk zile kukuru kakara nikasahau kusogeza pasi nikaungua,andaeni mazingira kwanza!
Pole, ajali kazini.
 
Hata akiwa wako atatoka tu njee..hawaridhiki ht uwape 10 time a day..still watataka radha mpyaa


.
Kwa umri wangu, sijawahi kuona ladha mpya. Sana sana karaha mpya.

Maandalizi kabla ya game huleta ladha mpya kwa kila tendo.

Mama kila siku anasema leo tamu.
 
Usiuchoshe mwili wako na nyeti zako!!!….Nothing will make a man stay unless he wants to stay📌
Asante,but hata Ivo nyeti zangu zipo Kwa ajili ya kutumika juu yake,akitaka kwenda aende,ulimwengu wa kumganda mtu sio huu tena...ukitaka kusepa sepa unakuwa hukuwa chaguo langu.so,nitazitumia nitakavyo ilimradi nami ndicho nitakacho mkuu 😜
 
😂Tunajijua uongo mkuu?!
Hata Ivo wanaume hamfanani kazini,ndo maana wengine mnakimbilia kupakuliwa kama women.Kuna mtu anatolewa bikra na kuachwa,Kuna mwanaume anakilakitu na Bado anachitiwa.😜 Kaz bro🤸 nazungumzia Kaz🥵
 
Asante,but hata Ivo nyeti zangu zipo Kwa ajili ya kutumika juu yake,akitaka kwenda aende,ulimwengu wa kumganda mtu sio huu tena...ukitaka kusepa sepa unakuwa hukuwa chaguo langu.so,nitazitumia nitakavyo ilimradi nami ndicho nitakacho mkuu 😜
Sawa endelea kukitembeza!
 
Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.

Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...[emoji15]mpe kile Cha chap Kwa haraka [emoji6] egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu[emoji1787] (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede[emoji849])

Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao[emoji119]

Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu[emoji3525]... maskini [emoji3064]ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....

Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio...

Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na[emoji57] juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo![emoji849][emoji3525]. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia[emoji24] daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao[emoji24][emoji24][emoji24][emoji34][emoji57]

NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah![emoji2955]
Mwanamke akishakuwa hivyo sichepuki hata kidogo tena nikitoka kazini fasta nawai nyumbani nisije kumkera bure kwa kuchelewa kurudi mapema.
 
Mmmmh...... Jiandae kwa Dm nyingi...
Ila asanteee kwa somooo
 
Ungeanza Kwa ku-declara interest kwanza,

Tupatie marital status yako kwanza (married, single, divorced etc).

Je umeolewa?

Kwamba wewe ni mke wa ndoa ya mono /polygamy ?

Je ndoa ndoa ulokuwepo ni ya muda gani ?

Ili twende sawa maana tusijekuta tunajadiliana na mtu ambae ni irrelevant na ambae yuko kinadharia zaidi.
 
Ukweli ni kwamba hata wanandoa ambao huzani wenza wao hawachepuki ni sababu they are not well informed kwa wakati huo.

Kuna wengine huwa wanakuja kutambua mume wake alikuwa na michepuko ya kudumu kwenye msiba wa mume [emoji24][emoji24]

God forbid!

Yani naona hata kulia mke itabidi machozi yakate paaps [emoji28][emoji3]

Kwanini ulie kwa mtu ambae unakuja kujua alikuwa na familia ya mke na mtoto au watoto for years?

Kwamba mmeishi sambamba ukipiga hesabu miaka ya ndoa mloishi na umri wa mtoto mkubwa [emoji28][emoji1787]

Unpopular truth is painful!
 
Back
Top Bottom