Hawa wanaume hatujawajulia tu

Nabold uzi 🙂🙂

Hawapendagi kupimiwa mbususu

Ila bado kuna wengine utabinuka mpaka utenguke maini ila kutulia na wewe ni nehiii… labda akuheshimu kwa kucheat kwa akili sana ili usijejua.


Wale ME ambao msipopimiwa na nyie mnakuwa ma gentle in all aspects aiseee mubarikiweeee, na wallet zenu zisikose manoti 😉🤪😋😋.
 
Aisee watu mna experience kwahiyo unajua wanaume wangapi..?😂
 
Tunashukuru
 
Sasa kama unataka mibinuko binu si ungeenda Tanga dogo??

Huku Kaskazini huo muda hatuna 😛😛
 
Sasa kama unataka mibinuko binu si ungeenda Tanga dogo??

Huku Kaskazini huo muda hatuna 😛😛
Ipo siku nitakuja kushuka na mgongo wa mtoto wa mtu walahi mtu unabinukaje Kama ngamia..!
 
Litolewe sanamu la askari pale post, lijengwe la kwako..

Kunywa na kula chochote utakacho mimi nitalipa.


Hapo umemuongelea mwanamke ninaemuhitaji mimi kwa 99%
Kwahiyo huyo uliyenae tunamtupia mto gani wenye mamba?😉
 
Kama unayosema unayaweza njoo tuishi nakuapia sitakaa nichepuke hata siku moja na utakuwa umenipatia kweli, wewe chochote unachotaka utapata na nitakujengea mnara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…