Hawa wanaume hatujawajulia tu

Hawa wanaume hatujawajulia tu

Kwahiyo huyo uliyenae tunamtupia mto gani wenye mamba?😉
Hahaa.. Hapana, huyu hatupiwi mtoni akaliwe na mamba, kupata kama hawa wenye ulimi mzuri ni wachache saana, huyu ni hivi hivi mnamchemshia maji ya vuguvugu anakoga, atatoka kwenye 90% ya sasa.
 
Hahaa.. Hapana, huyu hatupiwi mtoni akaliwe na mamba, kupata kama hawa wenye ulimi mzuri ni wachache saana, huyu ni hivi hivi mnamchemshia maji ya vuguvugu anakoga, atatoka kwenye 90% ya sasa.
Vizuri mkuu,mpende mkeo.Barikiwa
 
Kwani hakuna namna tukafanya ukawa second wife, yaani mke nambari mbili 😋
 
Kama unayosema unayaweza njoo tuishi nakuapia sitakaa nichepuke hata siku moja na utakuwa umenipatia kweli, wewe chochote unachotaka utapata na nitakujengea mnara.
Njoo unichukue tu mi nipo tu mkuu🤣🤣🤣🤣🙌
 
Exactly,kwa hiyo hayo uliyoandika yafanyike hayasaidii kitu... kama sio wako hata utoe figo kwa ajili yake hawezi kubaki

Kama mmependana mtaishi kama binadamu wa kawaida,haitakiwi kuwepo upande mmoja unaofanya jitihada nyiiiingi ili mahusiano yenu yadumu

Kumridhisha binadamu ni ngumu
Kuna kitu hujakijua kutoka Kwa mwanaume. Mwanaume ni mtu wa logic,mara nyingi hutumia logic na mara chache hutumia hisia kinyume na mwanamke

Ndy maana michepuko wanatufanya tunahamia kwao Kwa sababu wanatumia kanuni ya mleta Uzi. Ukimzoea mwanaume hata km mnapendana na mmefunga ndoa umekwisha..
 
Naomba nielekezwe fundi mzuri wa lamination maana uzi huu nataka niutundike sebuleni,hata wageni wausome hata watoto maana nao ni wanandoa wa kesho!
To yeye...!
Kumbe ushakuwa mkubwa!
Umenena,lakini sasa hawaambiliki,tena ikitokea ukamshauri hivi live anaweza akakujibu 'hayo kafanye na malaya wenzio'.Mnatuendesha mno!
Tena siku hizi ninyi ndo mnadai talaka!(si mnajua kuna pasu pasu)
Kuna mstaafu mmoja yupo anatumikia kifungo cha nje eti kisa aliitelekeza familia,sawa lakini unamshitaki tena ktk uzee wake!(huwa mnachafukwa vibaya mno)
Ila yote swaafi zaidi napenda swaga zako eti "chapu na haraka".Daa nawaza uwe smwhere umekipandisha kijsketi chako afu unasema BABY FANYA CHAP KWA HARAKA UTUPIEMO!
Hivi to yeye haka kamsemo naona mmekapenda kipindi hiki wadada na kanawapendeza,nani kawadundisha?
 
Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.


NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah!🤨
Safi sana. Hawa ndio wanawake tunaotaka kuoa sasa.
 
Back
Top Bottom