Betrose Richard
Member
- May 24, 2022
- 23
- 29
HahahaaaaaaaKosa ni kutaka kumbeba mtu ambae anaweza kujibeba!..
Wanawake unaozungumzia hapo ndo hawa wanakazi wanarudi wamechoka ataubinua sangapi..?
Anahasira za kufokewa na boss wake huko bado kikoba anadaiwa!.
Na vile mnavichwa vidogo kuhandle situation Kama hizo ni kazi kila mara mwajikuta mnahasira coz hamjui namna ya kuhandle hisia zenu!..
Ukimwambia binua binu ye anabinuka Kama ngamia ukimrekebisha anakuja juu..[emoji23]