Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo mfano tukiwa kwenye daladala nikitaka vp utanipa kitumbua!🤣🤣 Hakika unachokitafuta utakipata
...kufagia huwa tunaanzia miguuni uliposimama, ushaongea maneno matam hivi nikaanze kutafuta wa ku-bet.I meant mwelimishe mpenzio
Tunapanda daladala iliojaa ili tubanane iwe rahisi.Ushasema daladala,hakuna nilipomention puplic
Unaona sasa! Bora ukigawe hapahapa duniani ili ufurahie maishaKitaliwa na sisimiz
Vyombo vitumike kwa usahihi sio kwa tamaa za zinaaEmbu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out.
Mbinu nyingine usichague wakati, yaan kama mpo pamoja tu mpe I mean iwe asubuhi, mchana au jion usiku pia, Leo akitaka mchana poa, kesho usiku poa... usimpangie eti nitakupa kesho mwenzio kataka Leo...😳mpe kile Cha chap Kwa haraka 😉 egamia hata kochi pandisha kasketi hako ashushe kabukta kake hako kagumu🤣 (kama ulimwachia afue hawajui kufua hao wanaacha tuboksa na povu ikikauka inakakamaa kama inataka kusimama Dede🙄)
Jambo lingine ni usisubiri aanze yeye kudai haki ya ndoa, anza hata wewe mwenyewe.... hizi aibu utafikiri ndio mnaanza kutongozana zinacost aisee.... hata usipotamka ukishika tu pahala pale akakutazama usoni na macho yakaongea aisee, mbona anavua chap Kwa haraka hawasubirigi hao🙌
Mtu mwingine anaweza kusema tutakuwa tunashindia ngono tu☹️... maskini 🥺ndio maana ulioa, uliolewa la sivyo ungekaa hata na nduguzo.....
Na mwisho ni matumiz mazuri ya ulimi, kama unampenda jishushe, usipande juu kabla yake Wala baada ya yeye kupanda juu.... Magumu yapo but relax... nimejifunza kutoka kwangu mwenyewe... Kuna neno nishawahi tamkiwa, Kali, baya, chungu.... japo aliomba msamaha but linanotafuna mpaka Leo..... utaomba msamaha Kwa kuropoka neno baya utaambiwa umesamehewa lakini unakuwa umemwachia kovu mwenzio...
Kwa mfano mwenzio ameanza kuwa na tatizo la nguvu za kiume, siku mmekwazana,wewe ukasema"nawe unajiona mwanaume katika wanaume na😏 juu" Aisee huyo jamaa hatokuja akae sawa mpaka anaingia kaburini, yaan atakuwa akitaka kuchomeka tu,anakumbuka neno lako Ivo anajua unamchora tu hapo!🙄☹️. Nina mtoto wa kiume naumia wanapoumizwa, wengine hata hawakupata malezi mazuri toka Kwa wazazi wao tuwalee hata Kwa nusu bas kama kina mama, Kuna muda mruhusu mlie pamoja anapokuwa na maswahibu toka job, wanakutana na mengi wanakosa pa kulalamikia😭 daah, hata sielewi naumia na Nini wakati niliumizwa nao😭😭😭😠😏
NB: Tumieni vyombo Ivo jamani, kufa kwaja .... daah!🤨
kwaiyo wanandoa wakifanyia hayo nao watakuwa wamefanya zinaa?Vyombo vitumike kwa usahihi sio kwa tamaa za zinaa
Yesu na mariaSijamention tamaa,wenye tamaa hulala hata mama zao🤜
Unaelewa maana ya zinaaa...?kwaiyo wanandoa wakifanyia hayo nao watakuwa wamefanya zinaa?
Ata sielewi ebu nieleweshe. Maana mm nilijibu according to mada husika inaonesha imelenga walio kwenye mahusiano ya ndoaUnaelewa maana ya zinaaa...?
Ila mkitengana alaf upate ambaye hajui ayo ndio utajua huo usweet ulipo unaweza taman uhame hapo maana kumbukumbu kufutika huwa sio rahisSana, faster but sweet 😜