joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe ndio mjinga mara kumi zaidi, kwahiyo kwasababu Kisumu kuna tatizo la taa kuwaka, hiyo unataka kusema Kenya nzima ni hivyo?, acheni kupanic ili tuwe na healthy discussion hapa JFAsante kwa kudhibitisha ujinga wako.πππ
Mtoto akililia wembe mpeππkapaniki sana.... kisu cha ngariba kimemuingia mahala pake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe nenda kawekee wanakijiji wenzako stima. Unashinda humu ukipiga mayowe kumbe kwenu ni balaa. Nimeambiwa huko nyumba za nyasi hazina stima. Naona kama wewe unaishi nyumba ya nyasi.Wewe ndio mjinga mara kumi zaidi, kwahiyo kwasababu Kisumu kuna tatizo la taa kuwaka, hiyo unataka kusema Kenya nzima ni hivyo?, acheni kupanic ili tuwe na healthy discussion hapa JF
Mamako huyo.....msaidie jameni.πππWewe ndio mjinga mara kumi zaidi, kwahiyo kwasababu Kisumu kuna tatizo la taa kuwaka, hiyo unataka kusema Kenya nzima ni hivyo?, acheni kupanic ili tuwe na healthy discussion hapa JF
32% ni overall. Kule vijijini Tz ni 16% ambao wapo connected. Tansaagisaa. πMimi naona hata ni less. Kama kijiji kizima hakina stima.πππ
Maendeleo Chap Chap !! π±π±πWewe nenda kawekee wanakijiji wenzako stima. Unashinda humu ukipiga mayowe kumbe kwenu ni balaa. Nimeambiwa huko nyumba za nyasi hazina stima. Naona kama wewe unaishi nyumba ya nyasi.
Yes, ninaishi nyumba ya nyasi lakini nina chakula cha kutosha, maji safi na salama, choo nzuri, ardhi kwa ajili ya kilimo na mifugo, usala na amani, na hatubaguani kwa makabila yetu.Wewe nenda kawekee wanakijiji wenzako stima. Unashinda humu ukipiga mayowe kumbe kwenu ni balaa. Nimeambiwa huko nyumba za nyasi hazina stima. Naona kama wewe unaishi nyumba ya nyasi.
Bado uko 2015Mtoto akililia wembe mpeππ
Check out @Hon_Abdirahmanβs Tweet:
Kenya ni 4%π±π32% ni overall. Kule vijijini Tz ni 16% ambao wapo connected. Tansaagisaa. π
hahaha year 2010 unakurupuka kweli kweli leoMaendeleo Chap Chap !! π±π±π
Check out @AbiJagunβs Tweet:
Umesahau kusema hauna stima.ππππYes, ninaishi nyumba ya nyasi lakini nina chakula cha kutosha, maji safi na salama, choo nzuri, ardhi kwa ajili ya kilimo na mifugo, usala na amani, na hatubaguani kwa makabila yetu.
Okay nakupatia ya 2018ππBado uko 2015
Umemaliza kila kituWatani wa jadi nyie!!!
2018 maendeleo chap chapππ±hahaha year 2010 unakurupuka kweli kweli leo
Which organisation or government is called Edward Simiyu, only fools believe anything they see on the internet.Okay nakupatia ya 2018ππ
Maendeleo Chap Chapππ
Check out @Edsimiyuβs Tweet:
Eti Kenya ni..... check out flani's TWEETS. Hahaha. π Acha nilog out.Kenya ni 4%π±π
Maendeleo Chap Chapππ
Check out @AbiJagunβs Tweet:
We are dealing with uneducated buggers on Jf. Would you believe that? πWhich organisation or government is called Edward Simiyu, only fools believe anything they see on the internet.