kinyerezi twoNa hii kinyesi wanasemaga kila siku haijawai kua
atakuwa ni yule shoga wa kimombasa. [emoji23] [emoji23]Engineer boya humu JF ni mmoja tu π
Kilio !! ππ Trending in KenyaTweet ya january hii, stima zilirudi. Nyinyi kwenu bado mpango ni wa candle, kwanza umepeleka battery yako ikue charged au leo hutaona magufuli kwa TV.
ushahidi????ππππππNa hii ya Selous iko na stima?πππ
Kwa taarifa yako tuko na traffic lights hadi vijijiniππBungoma county, sisi tunajua maendeleo hatujui propaganda, kama munajiamini onesheni kwenu.
Akikupa evidence ni tagππushahidi????ππππππ
Traffic lights ya kucontrol kondoo na mbuzi nyinyi ni watu wa midomo tu vitendo hamna.Kwa taarifa yako tuko na traffic lights hadi vijijiniππ View attachment 772202 View attachment 772203
nasubiria na mm maana selous ni pori hawaishi watu sasa ngoja atueleze ni selou ganiππππAkikupa evidence ni tagππ
hebu leta ushahidi kua hapo turkanaπππTurkana wind energy project.
Siwezi panic mimi nakuletea facts after facts. Kenya mzima tumeiwasha proper.
Kuna kipindi tunawaachia tuone akili zenu zinapoishia kufikiliππ Mtanzania sio mtu wakucheza naeππBungoma county, sisi tunajua maendeleo hatujui propaganda, kama munajiamini onesheni kwenu.
Kumbe hujui turkana wind project, usijali utajua tu.hebu leta ushahidi kua hapo turkanaπππ
Toa kilio tu ! ππ Jipange humu sio Naira landππTraffic lights ya kucontrol kondoo na mbuzi nyinyi ni watu wa midomo tu vitendo hamna.