Hawa wasanii wetu wanawezaje ku share wanawake?

Lakini hushangai wanaume wanaochukua malaya wale wa kujiuza waziwazi kila siku anabadili. Hujajiuliza anashare na wangapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa.
 
mkuu unamjua mke wa prof Jay, Nikki wa pili, FA, Barnaba je au Mr blue??? turudi kwenye comment yako tuache kwanza?
Mke wa barnaba si Raya the boss, anafahamika.
 
Billnass alijua fika kuwa Nandy anatoka na ruge ila bado aliweza kuvumilia mpaka ruge amekufa akamuoa Nandy.

kama ruge asingekufa Billnass asingemuoa Nandy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si waliachana hapo kati, kabla ruge hajafa.
 
siku mtakayojua mapenzi ni hisia basi hamtajiukiza mambo mengi.... wakishea haipunguzi kitu kwenye maisha yako labda kama hujielewi ndio mambo yatakutatiza maana hata wao wanajua ila ndio washapenda
 
Nilichoka sana kuskia whozu ana date na wema sepetu,,,,,daaahh hata kama ni strategies za kibiashara hapana kwa kweli
 
kila demu aliyewahi kuliwa na diamond, kawa brand na wasanii wengine wanapokezana
Hii ndio maana halisi ya simba
 
siku mtakayojua mapenzi ni hisia basi hamtajiukiza mambo mengi.... wakishea haipunguzi kitu kwenye maisha yako labda kama hujielewi ndio mambo yatakutatiza maana hata wao wanajua ila ndio washapenda
Tofautisha hisia na nyege + ushamba
 
Udangaji tuu..hakuna kingine..umaarufu mzigo wa mavi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…