Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

Wanakuwa Azam tabata, wanafanya voice over kama zile movie za za kiislam au kama wakina dj lufufu watafsri movie. Pia huwa wanapewa link ya server before haizijaenda media house yeyote namaanisha wao hawajiungi na media house inayotangaza ujerumani bali wanajiunga na server za wale wenye tender hatakama itakuwa media house lakini kabla hawajaweka matangazo au logo ya ile TV except kwa main sponsor.
 
Asante mkuu kwa majibu mazuri

Nimeelewa
 
Sio ujerumani tu, hata kwa mkapa akina Mpenja hua wanakua nje ya dimba ila anakua kwenye gari la matangazo, anakua kama wewe mtazamaji kwenye TV ila anaingiza sauti tu.
Dah kumbe wanakuaga kwenye Gari la matangazo!!!
 
Acha fix,Kikeke was in London,ndan ya Bush house hadi alipomaliza mkataba akarudi zake.Hata Charles Hilary Nkwanga alikuwa huko
Ni kweli na mimi nakumbuka hivyo na tena hawa waliochukua mikoba yao nao wapo London
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…