Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Msaada tutani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nielezee kidogo kuhusu zile kelele za mashabiki huwa anazipataje?Wanakua hapa bongo.
Sio ujerumani tu, hata kwa mkapa akina Mpenja hua wanakua nje ya dimba ila anakua kwenye gari la matangazo, anakua kama wewe mtazamaji kwenye TV ila anaingiza sauti tu.Nielezee kidogo kuhusu zile kelele za mashabiki huwa anazipataje?
Asante mkuu kwa majibu mazuriWanakuwa Azam tabata, wanafanya voice over kama zile movie za za kiislam au kama wakina dj lufufu watafsri movie. Pia huwa wanapewa link ya server before haizijaenda media house yeyote namaanisha wao hawajiungi na media house inayotangaza ujerumani bali wanajiunga na server za wale wenye tender hatakama itakuwa media house lakini kabla hawajaweka matangazo au logo ya ile TV except kwa main sponsor.
Dah kumbe wanakuaga kwenye Gari la matangazo!!!Sio ujerumani tu, hata kwa mkapa akina Mpenja hua wanakua nje ya dimba ila anakua kwenye gari la matangazo, anakua kama wewe mtazamaji kwenye TV ila anaingiza sauti tu.
Acha fix,Kikeke was in London,ndan ya Bush house hadi alipomaliza mkataba akarudi zake.Hata Charles Hilary Nkwanga alikuwa hukoNakumbuka kipindi kina Kikeke watangaza kwa kiswahili mechi za EPL walikua wanakwea pipa kwenda SA na sio England.
So bila shaka wanakua pale tabata ofisini kwao.
Ni kweli na mimi nakumbuka hivyo na tena hawa waliochukua mikoba yao nao wapo LondonAcha fix,Kikeke was in London,ndan ya Bush house hadi alipomaliza mkataba akarudi zake.Hata Charles Hilary Nkwanga alikuwa huko
Shit, sio Kikeke nilikosea hapo bna ni huyu mzee wa wasafi Kitenge.Acha fix,Kikeke was in London,ndan ya Bush house hadi alipomaliza mkataba akarudi zake.Hata Charles Hilary Nkwanga alikuwa huko
Yes hao huwa wanatangaza kwa upande wa DSTV kiswahili, nakumbuka hata Ephrahim Kibonde naye alikuwa akiruka na mwewe kila wiki kwenda SAShit, sio Kikeke nilikosea hapo bna ni huyu mzee wa wasafi Kitenge.