The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Scola yupo BBC.Mbona Shabani Lupa na huyo Scola siku hizi hawasikiki hapo East Africa Radio?
Unapitwa na top seven at seven ya DJ Makei,ndinga mpya townMi huwa nawasikiza pb clouds mpaka saa tatu.wakusha peruz.naenda zangu Ea Radio hadi saa sita. Hapo naenda wasafi au choice hadi nane kamili Midahiyo huwa ni ngoma tu. Narudi Ea radiokupata habari za mbele mpaka saa tisa narudi zangu clouds kumsikiza adam mchomvu.hadi kumi nadandia ndinga mpya town hadi kumi na 2. Namtafuta lil ommy wa times fm mpaka moja kamili naungana na tunu Hassan wa Efm kabla ya kumtafuta tigana rukinja. Huku nikimsikilizua Millard story mbili za mwisho ksha spot extra. Saa nne Narudi zangu choice/wasafi hadi majogoo
Wote washasepa hao yupo Charles William Jamaa anajua Sana,Kwa watangazaji huyu Dogo Hakuna anayemfikia.Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.
Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.
Shaban Lupa kaenda wapi? Charles William yupo vizuri ila si kweli kwamba hakuna anaemfikia. Kwa upande wa yule dada anaekuwa nae kwenye kipindi asubuhi naona bado anapwaya hivyo inabidi afanye kazi ya ziada ili baadae aweze kukonga nyoyo za wasikilizaji wa kipindi.Wote washasepa hao yupo Charles William Jamaa anajua Sana,Kwa watangazaji huyu Dogo Hakuna anayemfikia.
Heri yako wewe mwenye kazi au biashara inayokupa nafasi ya kusikiliza hivyo vipindi vyote kuanzia asubuhi.Mi huwa nawasikiza pb clouds mpaka saa tatu.wakusha peruz.naenda zangu Ea Radio hadi saa sita. Hapo naenda wasafi au choice hadi nane kamili Midahiyo huwa ni ngoma tu. Narudi Ea radiokupata habari za mbele mpaka saa tisa narudi zangu clouds kumsikiza adam mchomvu.hadi kumi nadandia ndinga mpya town hadi kumi na 2. Namtafuta lil ommy wa times fm mpaka moja kamili naungana na tunu Hassan wa Efm kabla ya kumtafuta tigana rukinja. Huku nikimsikilizua Millard story mbili za mwisho ksha spot extra. Saa nne Narudi zangu choice/wasafi hadi majogoo
Lupa sijui kaenda wapi ila scola yupo BBC Swahili,Yusta ndio anaanza naye yupo vizuri,Charles William yupo vizuri sana yule jamaa,yaani ukimsikiliza mara moja tu unamuelewa,jamaa ni mchambuzi mzuri sana.Shaban Lupa kaenda wapi? Charles William yupo vizuri ila si kweli kwamba hakuna anaemfikia. Kwa upande wa yule dada anaekuwa nae kwenye kipindi asubuhi naona bado anapwaya hivyo inabidi afanye kazi ya ziada ili baadae aweze kukonga nyoyo za wasikilizaji wa kipindi.
yuko Kiss fmDJ JEFF JERRY KUTOKA KISS FM YUKO WAPI?
Heri yako wewe mwenye kazi au biashara inayokupa nafasi ya kusikiliza hivyo vipindi vyote kuanzia asubuhi.
Shaban Lupa Amefariki Dunia Jana Mkoani Tanga.Shaban Lupa kaenda wapi? Charles William yupo vizuri ila si kweli kwamba hakuna anaemfikia. Kwa upande wa yule dada anaekuwa nae kwenye kipindi asubuhi naona bado anapwaya hivyo inabidi afanye kazi ya ziada ili baadae aweze kukonga nyoyo za wasikilizaji wa kipindi.
Scola yupo BBC na Shaban Lupa Amefariki Dunia Jana.Mbona Shabani Lupa na huyo Scola siku hizi hawasikiki hapo East Africa Radio?
We kumbe ndio Mbao za Mawe !!!.
Signature yake hiyo mkuu ukisikia popote pale hata kama uko usingizini unajua ni Marato anaunguruma.
Duuh. Pole kwa wafiwa. Aliugua? Mbona hakuna mahali popote vyombo vya IPP Media wameripoti kifo chake kwa kuzingatia kwamba marehemu alikuwa ni mfanyakazi wao?Shaban Lupa Amefariki Dunia Jana Mkoani Tanga.