Hawa Watangazaji wa East Africa Radio wanajua sana

Mi huwa nawasikiza pb clouds mpaka saa tatu.wakusha peruz.naenda zangu Ea Radio hadi saa sita. Hapo naenda wasafi au choice hadi nane kamili Midahiyo huwa ni ngoma tu. Narudi Ea radiokupata habari za mbele mpaka saa tisa narudi zangu clouds kumsikiza adam mchomvu.hadi kumi nadandia ndinga mpya town hadi kumi na 2. Namtafuta lil ommy wa times fm mpaka moja kamili naungana na tunu Hassan wa Efm kabla ya kumtafuta tigana rukinja. Huku nikimsikilizua Millard story mbili za mwisho ksha spot extra. Saa nne Narudi zangu choice/wasafi hadi majogoo
 
Ipp media wanatoa watu
Wazuri wenye kuuzika ila hawawalipi vema
 
Mi huwa nawasikiza pb clouds mpaka saa tatu.wakusha peruz.naenda zangu Ea Radio hadi saa sita. Hapo naenda wasafi au choice hadi nane kamili Midahiyo huwa ni ngoma tu. Narudi Ea radiokupata habari za mbele mpaka saa tisa narudi zangu clouds kumsikiza adam mchomvu.hadi kumi nadandia ndinga mpya town hadi kumi na 2. Namtafuta lil ommy wa times fm mpaka moja kamili naungana na tunu Hassan wa Efm kabla ya kumtafuta tigana rukinja. Huku nikimsikilizua Millard story mbili za mwisho ksha spot extra. Saa nne Narudi zangu choice/wasafi hadi majogoo
Unapitwa na top seven at seven ya DJ Makei,ndinga mpya town

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi cha Asubuhi East Africa Radio hakijapata watu wazuri wakufanya kazi na shabani Lupa.

Yule scola angetafuta kazi nyngne au akae ktk production hajaweza ndinga hajaweza asubuhi.
Wote washasepa hao yupo Charles William Jamaa anajua Sana,Kwa watangazaji huyu Dogo Hakuna anayemfikia.
 
Shaban Lupa kaenda wapi? Charles William yupo vizuri ila si kweli kwamba hakuna anaemfikia. Kwa upande wa yule dada anaekuwa nae kwenye kipindi asubuhi naona bado anapwaya hivyo inabidi afanye kazi ya ziada ili baadae aweze kukonga nyoyo za wasikilizaji wa kipindi.
 
Mi huwa nawasikiza pb clouds mpaka saa tatu.wakusha peruz.naenda zangu Ea Radio hadi saa sita. Hapo naenda wasafi au choice hadi nane kamili Midahiyo huwa ni ngoma tu. Narudi Ea radiokupata habari za mbele mpaka saa tisa narudi zangu clouds kumsikiza adam mchomvu.hadi kumi nadandia ndinga mpya town hadi kumi na 2. Namtafuta lil ommy wa times fm mpaka moja kamili naungana na tunu Hassan wa Efm kabla ya kumtafuta tigana rukinja. Huku nikimsikilizua Millard story mbili za mwisho ksha spot extra. Saa nne Narudi zangu choice/wasafi hadi majogoo
Heri yako wewe mwenye kazi au biashara inayokupa nafasi ya kusikiliza hivyo vipindi vyote kuanzia asubuhi.
 
Shaban Lupa kaenda wapi? Charles William yupo vizuri ila si kweli kwamba hakuna anaemfikia. Kwa upande wa yule dada anaekuwa nae kwenye kipindi asubuhi naona bado anapwaya hivyo inabidi afanye kazi ya ziada ili baadae aweze kukonga nyoyo za wasikilizaji wa kipindi.
Lupa sijui kaenda wapi ila scola yupo BBC Swahili,Yusta ndio anaanza naye yupo vizuri,Charles William yupo vizuri sana yule jamaa,yaani ukimsikiliza mara moja tu unamuelewa,jamaa ni mchambuzi mzuri sana.
 
Shaban Lupa kaenda wapi? Charles William yupo vizuri ila si kweli kwamba hakuna anaemfikia. Kwa upande wa yule dada anaekuwa nae kwenye kipindi asubuhi naona bado anapwaya hivyo inabidi afanye kazi ya ziada ili baadae aweze kukonga nyoyo za wasikilizaji wa kipindi.
Shaban Lupa Amefariki Dunia Jana Mkoani Tanga.
 
.
Signature yake hiyo mkuu ukisikia popote pale hata kama uko usingizini unajua ni Marato anaunguruma.
We kumbe ndio Mbao za Mawe !!!
Screenshot_20190330-072302.png
 
Back
Top Bottom