King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwa jinsi nilivyosikia aliumwa kwa muda mfupi tu,kwenye kipindi cha East Africa Breakfast wametangaza pia kwamba amefariki.....Inaonekana alikuwa kashaacha kazi E.A maana hajasikika mda mrefu sana E.A Radio.Duuh. Pole kwa wafiwa. Aliugua? Mbona hakuna mahali popote vyombo vya IPP Media wameripoti kifo chake kwa kuzingatia kwamba marehemu alikuwa ni mfanyakazi wao?
Sawa. Safari yake duniani imefikia tamati. Binafsi nilipenda utangazaji na ucheshi wake kwenye kipindi.Kwa jinsi nilivyosikia aliumwa kwa muda mfupi tu,kwenye kipindi cha East Africa Breakfast wametangaza pia kwamba amefariki.....Inaonekana alikuwa kashaacha kazi E.A maana hajasikika mda mrefu sana E.A Radio.
Sawa. Safari yake duniani imefikia tamati. Binafsi nilipenda utangazaji na ucheshi wake kwenye kipindi.
Hivi aliacha kazi mwenyewe au aliachishwa? Maana sidhani kama alitimiza hata miezi mitatu bila kuwa kazini pale East Africa radio. Isijekuwa stress za kutokuwa na ajira ndizo zimepelekea kupata maradhi yaliyosababisha kifo chake.
Sina uhakika kwa hilo ia muda sana hakuwa hewana EA Radio.Hivi aliacha kazi mwenyewe au aliachishwa? Maana sidhani kama alitimiza hata miezi mitatu bila kuwa kazini pale East Africa radio. Isijekuwa stress za kutokuwa na ajira ndizo zimepelekea kupata maradhi yaliyosababisha kifo chake.
Ritha Chiwalo yupo WAPO Radio 98.1 FM kwa mawimbi ya DSM.Naombeni namba ya ritha chiwalio
Kashuka kiwango Nini?Ritha Chiwalo yupo WAPO Radio 98.1 FM kwa mawimbi ya DSM.
Hapana maslahi mkuu.Kashuka kiwango Nini?