Hawa watatu ndio wanaochekesha na kuabisha zaidi watu wa imani yao katika vita vya Gaza.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo

Kwanza ni Saudi Arabia ambayo mwanzoni mwa vita iliitisha mkutano mkubwa sana wa mataifa ya kiarabu na yenye waislamu wengi.Kilichotokea ni kuundwa kwa tume ya mawiziri wa nje wa nchi chache kati yao kwenda kuishtaki Israel kwa China.Baada ya hapo Saudia imepiga kimya kabisa huku wananchi wa Palestina wakiuliwa bila utetezi.

Wa pili ni Jordan ambapo raisi wake alikwenda Marekani kwa raisi Biden akiwa mikono nyuma kama raisi Ruto wa Kenya akatoa malalamiko yake kwa kiongozi huyo.Hakuna hata moja kati ya aliyoyazungumza lililosikilizwa kwani hata vituo vya Jordan vya kutoa misaada ya matibabu kule Gaza navyo viliangamizwa na wao hakuna walichokifanya zaidi ya kuendelea kulalamika kuwa Israel imehusika.

Wa tatu ni Uturuki chini ya raisi wake kigeugeu,Erdogan.Nchi hiyo ni kati ya mataifa ya kiislamu yenye teknolojia kubwa za kijeshi na silaha bora sana lakini muda wote wa vita haijaweza kutoa msaada wowote wa maana zaidi ya kutoa majina mabaya kwa Netanyahu kama vile Hitler au fashisti ambayo wala hayakuizuia Israel kupiga mahospitali yanayofadhiliwa na Uturuki ndani ya Gaza.

Kwa ajili hiyo kwa sasa kinachosubiriwa ni kipigo cha aina yake kwa Israel na mataifa hayo ya kinafiki ya kiislamu kutoka kwa Allah baada ya wote kushindwa mtihani na kufanya kibri kilichopitiliza.
 
Huyo allah kwanini asiwasaidie wapalestina mpaka sasa mnabaki kusema subiri allah mpaka lini?
 
Kwani wapalestina kupitia hamas si kuliamsha dude october 7 si mliwasifia walitegemea nini kwamba waarabu na dunia iwatete kwa uhuni walioufanya october 7 au israel ataogopa makelele ya dunia ya kusema watoto na wanawake wanauawa !! Embu wamelikoroga wenyewe walinywe tu
 
Huyo allah kwanini asiwasaidie wapalestina mpaka sasa mnabaki kusema subiri allah mpaka lini?
Wewe upo katika giza, hivyo huwezi elewa haya mambo, huyo mnaemuamini na kuamini taifa lake ni teule hamtaamini kitakachomtokea.
 
Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo

Kwanza ni Saudi Arabia ambayo mwanzoni mwa vita iliitisha mkutano mkubwa sana wa mataifa ya kiarabu na yenye waislamu wengi.Kilichotokea ni kuundwa kwa tume ya mawiziri wa nje wa nchi chache kati yao kwenda kuishtaki Israel kwa China.Baada ya hapo Saudia imepiga kimya kabisa huku wananchi wa Palestina wakiuliwa bila utetezi.

Wa pili ni Jordan ambapo raisi wake alikwenda Marekani kwa raisi Biden akiwa mikono nyuma kama raisi Ruto wa Kenya akatoa malalamiko yake kwa kiongozi huyo.Hakuna hata moja kati ya aliyoyazungumza lililosikilizwa kwani hata vituo vya Jordan vya kutoa misaada ya matibabu kule Gaza navyo viliangamizwa na wao hakuna walichokifanya zaidi ya kuendelea kulalamika kuwa Israel imehusika.

Wa tatu ni Uturuki chini ya raisi wake kigeugeu,Erdogan.Nchi hiyo ni kati ya mataifa ya kiislamu yenye teknolojia kubwa za kijeshi na silaha bora sana lakini muda wote wa vita haijaweza kutoa msaada wowote wa maana zaidi ya kutoa majina mabaya kwa Netanyahu kama vile Hitler au fashisti ambayo wala hayakuizuia Israel kupiga mahospitali yanayofadhiliwa na Uturuki ndani ya Gaza.

Kwa ajili hiyo kwa sasa kinachosubiriwa ni kipigo cha aina yake kwa Israel na mataifa hayo ya kinafiki ya kiislamu kutoka kwa Allah baada ya wote kushindwa mtihani na kufanya kibri kilichopitiliza.

Hao (Saudi Arabia, Jordan na Turkiye) uliowataja ni bora kuliko marafidhah akina Khamenei, Hezbo na Houthi.

Halafu pili, uachage jazba na hamasa. Licha ya mapungufu yao hao unaowakufurisha na kuwatia unafiq kwa dhulma na uadui na ujinga huenda wana mchango mkubwa mno kwa ndugu zao kuliko wewe.

Namuomba Allah awape nusra ndugu zetu walioko Palestina. Na awape nguvu mataifa ya kiislam yote.
 
Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo

Kwanza ni Saudi Arabia ambayo mwanzoni mwa vita iliitisha mkutano mkubwa sana wa mataifa ya kiarabu na yenye waislamu wengi.Kilichotokea ni kuundwa kwa tume ya mawiziri wa nje wa nchi chache kati yao kwenda kuishtaki Israel kwa China.Baada ya hapo Saudia imepiga kimya kabisa huku wananchi wa Palestina wakiuliwa bila utetezi.

Wa pili ni Jordan ambapo raisi wake alikwenda Marekani kwa raisi Biden akiwa mikono nyuma kama raisi Ruto wa Kenya akatoa malalamiko yake kwa kiongozi huyo.Hakuna hata moja kati ya aliyoyazungumza lililosikilizwa kwani hata vituo vya Jordan vya kutoa misaada ya matibabu kule Gaza navyo viliangamizwa na wao hakuna walichokifanya zaidi ya kuendelea kulalamika kuwa Israel imehusika.

Wa tatu ni Uturuki chini ya raisi wake kigeugeu,Erdogan.Nchi hiyo ni kati ya mataifa ya kiislamu yenye teknolojia kubwa za kijeshi na silaha bora sana lakini muda wote wa vita haijaweza kutoa msaada wowote wa maana zaidi ya kutoa majina mabaya kwa Netanyahu kama vile Hitler au fashisti ambayo wala hayakuizuia Israel kupiga mahospitali yanayofadhiliwa na Uturuki ndani ya Gaza.

Kwa ajili hiyo kwa sasa kinachosubiriwa ni kipigo cha aina yake kwa Israel na mataifa hayo ya kinafiki ya kiislamu kutoka kwa Allah baada ya wote kushindwa mtihani na kufanya kibri kilichopitiliza.
Uchokoze afanye Hamas halafu mlauumu nchi nyingine? Kwa hiyo Saud Arabia, Uturuki, Jordani asaidie wapalestina kwa msingi ya utu au dini? Hizo nchi haxitaki kujiingiza kwenye matatizo na kuharibu nchi zao na uchumi wao.
 
Msaada kwanza ni kwa misingi ya dini halafu kwa ubinadamu.Uislamu unasema waislamu ni kama mwii mmoja.Kiungo kimoja kikishtaki maumivu basi mwili wote huhisi maumivu hayo.
Kwa misingi ya utu na ubinadamu.Basi binadamu wa kweli huwa hawezi kumwachia mwenzake aumizwe na mwengine bila kumsaidia.
 
Back
Top Bottom