Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sehemu gani ya biblia inasema Yesu alikuwa mweusi
Mtoto wa kwenda huyo.Vile alimuacha Kardashian huwa simpendi tena
Hiyo sehemu haipo. Ndio maana nilitaka mlete hapa niwapinge kwa facts, badala yake mnataja Google. HamjiaminiGoggle utapata majibu yote sikuwizi hakuna mtu atakaye kupondea chakula ule!
Tafuta mwenyewe kama kuku wa kienyeji[emoji3062]
Biblia iliandika hivyo? Kwamba alikimbizwa kwa weusi ili asitambulike. Speculations zenu sio factsZipo nyingi tu,mfano ni kuzaliwa kwake.
Alikimbizwa kwenye Nchi ya weusi ili asiuwawe /asitambulike na wenye kumtafuta...
Black ndio real Jews,wakati hamzalishi chochote duniani!black race ni consumer race,hapo ulipo vingapi vimetengenezwa na watu weusi?,popote walipo,continental Africa au diaspora!gari mjapani!tv Korea!piki piki India!hata ngsno inatoka Urusi!!mpaka vyuo vya veta tunajengewa na wachina!!Kanye West kaongea ukweli Africans we are the real Jew's hao jamaa hawataki kuambiwa ukweli sisi ndio wayahudi wa ukweli na sehemu gani kwenye biblia inasoma yesu alikuwa mweupe.
Matajiri wa kuimba huwa hawafiki mbaliHahaha
Kuimbaimba.....
Ndy bongo wanajivunia mabilionea wakata mauno
Ova
Millionaire katupwa nje na securityDuh
Ova
Sisi tunakata mauno tuBlack ndio real Jews,wakati hamzalishi chochote duniani!black race ni consumer race,hapo ulipo vingapi vimetengenezwa na watu weusi?,popote walipo,continental Africa au diaspora!gari mjapani!tv Korea!piki piki India!hata ngsno inatoka Urusi!!mpaka vyuo vya veta tunajengewa na wachina!!
Acha ujinga jombaa!