Hawa Wayahudi ukiwagusa tu unalo!

Hawa Wayahudi ukiwagusa tu unalo!

Nimekuuliza swali dogo. Wayahudi walivyokuwa utumwani misri, Ina maana wamisri weusi waliwatumikisha wayahudi weusi?

Na hao wayahudi weusi walienda wapi?



Screenshot_2022-10-26-09-21-27-801_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Kwa hyo wahindi ni wa wayahudi
The concept ni kwamba kuna watu ukiwagusa maana yake umeyaweka maslahi yako into jeopardy. Mengi ilimtokea kwasababu hakujua ya kwamba wateja wake wakubwa wa bidhaa zake walikuwa Wahindi. Alikuja kushtuka baada ya orders nyingi sana kuwa cancelled. Akaongea nao yakaisha.

Sasa huyu Kanye kawagusa Wayahudi. Si unaona sasa mambo yake yanavyoenda? Awaombe radhi ma Rabbi yaishe na yataisha. Aking'ng'ana, atampa kazi R Kelly ya kumtunzia kitanda!!!
 
Hii ndiyo hali anayokumbana nayo msanii

Kanye West baada ya kuwagusa "wenye dunia yao"(Wayahudi)! Jamaa alitoa kauli hii​


“I’m a bit sleepy tonight but when I wake up I’m going death con 3 On JEWISH PEOPLE The funny thing is I actually can’t be Anti Semitic because black people are actually Jew also You guys have toyed with me and tried to black ball anyone whoever opposes your agenda,”!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mara baada ya kauli hii vitu vifuatavyo vimeanza kumtokea!!!!!!!

  1. West has lost access to his Instagram and Twitter accounts.
  2. An appearance on the unscripted series The Shop: Uninterrupted was also pulled.
  3. Balenciaga cut ties with the rapper and designer.
  4. The rapper is no longer being represented by the booking agency Creative Arts Agency.
  5. West has apparently lost the counsel of attorney Camille Vasquez.
  6. Clothing giant Adidas has cut ties with rapper.
  7. The rapper has also lost his position in Forbes magazine's list of billionaires. !!!!!!!!! Sijui kitakachofuata!!!!!!!
Nb 1: Fuatilia kwa undani asili ya wamiliki waliovunja naye mikataba!!!!!!!!!!!!

Nb 2: "To black ball anyone whoever opposes your agenda" Hapa alimaanisha nini???????????
Mimi nawapenda sana hawa majamaa kwenye Principal zao walisema Never ever again. Yani kamwe hawato uwawa kama alivyo fanya Hitler. Na kweli wamekuwa wakila vichwa vya kila anaye wagusa.
 
Logic kubwa sana

I never understand kwanini mnapenda muitwe Jews au mfananishwe nao. I'm no jew hata kama hao Jews walikua black kuliko Mimi.

Kanye kaongea ukweli kwenye mambo ya kiuchumi tu kuhusu Jews ila Jews wenyewe hawana shida na wewe hata ukijiita jew, kujiita doesn't change nothing. Wewe ukijiita mzungu, miarabu, myahudi doesn't mean anything.
 
Ila naomba tu hawa Human rights sijui na wengine kupigania uhuru wa kuongea sijui uhuru wa kuwa unavyotaka kama wanavyoisema Qatar kila siku waache mara moja sababu hakuna kitu uhuru wa kuongea ila nini cha kuongea. Leo hii wewe waseme Jews na sasa limekuja lingine waseme mashoga tu utakiona cha mtema kuni.
 
Tanzania mbona wapo!si kuna wale wanaoweka bendera za Israel kwenye
Magari yao

Ova
 
Yesu alipokimbilia Egypt ambako kulikuwa na weusi Wengi kipindi hiko kujificha...alienda kujificha huko kirahisi sababu ya kufanana rangi na watu wa huko...
Egpty imewahi kutawaliwa na Watu weusi ila watu wa Egpty hawajawahi kuwa weusi, wapo vile vile kama unavyowaona leo. Michoro yote ya zamani na data mbali mbali zinathibitisha hili. Hakuna mkangamyiko baina ya Wataalamu.
 
Ila naomba tu hawa Human rights sijui na wengine kupigania uhuru wa kuongea sijui uhuru wa kuwa unavyotaka kama wanavyoisema Qatar kila siku waache mara moja sababu hakuna kitu uhuru wa kuongea ila nini cha kuongea. Leo hii wewe waseme Jews na sasa limekuja lingine waseme mashoga tu utakiona cha mtema kuni.
Democracy changa la Macho Mkuu, inaitwa Democracy pale tu inapofit interest zao, ila Jambo wasilolipenda likitokea ghafla tu wana support udikteta.

“They talk about democracy and many things, but when someone has a different opinion they are attacked by the same people who talk about democracy” – Neymar JR.

Kauli ya Neymar Juzi.
 
Ukiherehere wake ameenda kutafuta nini Skechers?
Haya kasindikizwa na kutimuliwa HQ iliopo California
Kanye aondolewa kama mwizi daa

Kama umepanda kwa kuimba imba tu ndio utajiri wa mweusi
 
Kanye West kaongea ukweli Africans we are the real Jew's hao jamaa hawataki kuambiwa ukweli sisi ndio wayahudi wa ukweli na sehemu gani kwenye biblia inasoma yesu alikuwa mweupe.

Bible yote inasema Yesu Kristo ni mweusi ti!
Alikuwa na rangi moja na wamisri. Sasa mabeberu wanakwambia wamisri walikuwa weusi na wayahudi ni wazungu [emoji3062], full of bullshit walahi [emoji35]
Putin mwamba piga hao makaburu mpaka waseme poh!
 
Ukiherehere wake ameenda kutafuta nini Skechers?
Haya kasindikizwa na kutimuliwa HQ iliopo California
Kanye aondolewa kama mwizi daa

Kama umepanda kwa kuimba imba tu ndio utajiri wa mweusi
Hahaha

Kuimbaimba.....

Ndy bongo wanajivunia mabilionea wakata mauno

Ova
 
Back
Top Bottom