Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee, huyu mjknga huyu daa!
Pesa ni za wife za mauzo ya leo dukani kwake pale Bamaga sasa nilipaki gari nikaenda kupata futari sasa kosa langu mimi sikufunga mlango aisee niliuegesha tu aisee kumbe kuna wahuni wananisoma tu aisee baada ya kumaliza kupata futari kurudi kwwnye ndinga yangu nissan juke number E nakuta mlango umefungwa kama nilivyoacha lakini kuangalia ndani milioni 10 haipo,busainess card zangu hazipo na document za makabidhiano ya kununua mgodi wangu wa dhahabu Geita haupo
😩😩😩😩😩😩